Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MV Dar es Salaam yaanza majaribio, yaenda bagamoyo na kurudi Dar

Waziri wa Ujenzi Dk, John Magufuli leo amewaongoza wananchi wa jiji la Dar es Salaam kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo.  Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na

 Immaculate Makilika –MAELEZO_DAR ES SALAAM WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea.  Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na Bunge la Katiba Mpya linaloendelea mjini Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Wazee wenzake Kepteni Mstaafu Alhaji Mohamedi Ligora , amesema kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!

Kipindi  cha mchezo wa maigizo cha  Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa  zaidi ya miaka mitatu.

Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja  muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.

Bila shaka wengi...

 

10 years ago

Mwananchi

Raha kwa wakazi wa Dar es Salaam, Bagamoyo

Usafiri wa majini una raha yake, hasa ikiwa chombo unachotumia ni imara na chenye usalama usiotiliwa shaka.

 

9 years ago

Michuzi

DAR ES SALAAM, BAGAMOYO KUKOSA HUDUMA YA MAJI KESHO

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linasikitika kuwatangazia  wakazi wa jiji la Dar-es-salaam na  Mji wa Bagamoyo kuwa Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa Saa 24 siku ya Jumapili, Tarehe 13/12/2015.
Mtambo wa Ruvu Chini utazimwa kutokana na matengenezo na Maboresho ya Njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo katika Jiji la Dar es salaam kukosa...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Maboresho bandari ya Dar es Salaam yaanza kuzaa matunda

Maboresho yanayofanywa na serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) katika kuboresha huduma zinazotolewa na bandari ya Dar es Salaam sasa zimeanza kuzaa matunda.  Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPA, Bi. Janeth Ruzangi aliwaambia waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kuwa bandari imeanza kupata mafanikio katika kuwahudumia wateja wake na maeneo mengine kutokana maboresho yanayo endelea kufanywa.  Katika miaka ya hivi karibuni pamekuwepo na mikakati mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani