DAR ES SALAAM, BAGAMOYO KUKOSA HUDUMA YA MAJI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-S5KEymRDv1k/VmvX4gNXRXI/AAAAAAAILv8/yUWTxvn964o/s72-c/download%2B%25281%2529.jpeg)
Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linasikitika kuwatangazia wakazi wa jiji la Dar-es-salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa Saa 24 siku ya Jumapili, Tarehe 13/12/2015.
Mtambo wa Ruvu Chini utazimwa kutokana na matengenezo na Maboresho ya Njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo katika Jiji la Dar es salaam kukosa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-bZnR9tmZ_rw/VA4W9K5DchI/AAAAAAAGiJk/QVCC2doAHvs/s1600/unnamed%2B%2813%29.jpg?width=650)
KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bZnR9tmZ_rw/VA4W9K5DchI/AAAAAAAGiJk/QVCC2doAHvs/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-b3_6SbxawIc/Vkspvn-ZwtI/AAAAAAAIGbM/vkorSoLEObM/s72-c/Sharif%2B01.jpg)
Serikali Kuboresha Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada ya kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Chanzo cha Maji cha Ruvu Chini na upanuzi wa mtambo wa kusafishia maji.
Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimarekani la Millenium Challenge Co-operation umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 66.24 na unatarajiwa kukamilika wakati wowote baada ya kukamilika kwa kazi ya kulaza bomba linalosafirisha maji toka Ruvu chini kuja...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v3lfYbSW0a0/VH3WMmnctGI/AAAAAAAG01E/NQd5sHzhmJI/s72-c/Untitled1.png)
DAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji
![](http://1.bp.blogspot.com/-v3lfYbSW0a0/VH3WMmnctGI/AAAAAAAG01E/NQd5sHzhmJI/s1600/Untitled1.png)
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Baadhi ya maeneo jijini D’Salaam kukosa maji
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvLuGfe*gDKzGkS8WV63zi63mPHP0ygdvsL6YQSLKA0ozti-Qa--5S5foeXaGNOdC9o1ZprSQfrqcTnN1NDiQIGq/d1.jpg?width=650)
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
![](https://2.bp.blogspot.com/-utueJlLvcrc/VAEFt9bWIqI/AAAAAAAAXXc/60Yejvxm-3s/s1600/Modesta%2BMushi.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-dJAlQfjgYfw/VAEFtuoqMYI/AAAAAAAAXXY/p7ed-tfkWT8/s1600/Mhandishi%2BJohn%2BKirecha.jpg)
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Dar kuendelea kukosa maji
Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WIZARA ya Maji imesema jiji la Dar es Salaam litaendelea kukabiliwa na uhaba wa maji, kutokana na uboreshwaji wa miundombinu yake kushindwa kukamilika kwa wakati.
Hadi sasa mradi mkubwa wa maji kwa ajili ya jiji hilo umefikia wastani wa asilimia 68.
Akitoa taarifa ya miradi inayotekelezwa na kuboresha huduma ya majisafi na majitaka katika jiji hilo, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Maji na Mifugo, Athumani Sharifu, alisema jiji la Dar es Salaam...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Bandari ya D’ Salaam kuanza kutoa huduma saa 24 kesho