Bandari ya D’ Salaam kuanza kutoa huduma saa 24 kesho
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikishirikiana na wadau wake kuanzia kesho wanatarajia kuanza kutoa huduma kwa saa 24, siku saba za wiki, mwaka mzima bila kupumzika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-eeASJWSguhk/U2e3vw793cI/AAAAAAAFfxk/7dO3T-kYyRg/s72-c/download+(2).jpg)
mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani
![](http://2.bp.blogspot.com/-eeASJWSguhk/U2e3vw793cI/AAAAAAAFfxk/7dO3T-kYyRg/s1600/download+(2).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_uYNo1OPj3Y/VTy_ztdGGbI/AAAAAAAHTXM/JF0MphHSbEM/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
MV Kigamboni kuanza kutoa huduma leo
HATIMAYE kivuko cha MV Kigamboni kinatarajiwa kuanza kutoa huduma rasmi leo kwa wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kuteseka kwa takribani wiki mbili wakati kilipokuwa kwenye matengenezo....
11 years ago
Dewji Blog06 May
DART kuanza kutoa huduma mapema mwakani
Meneja Uhusiano Mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw. William Gatambi (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusu maendeleo ya mradi huo ambao awamu ya kwanza itakamilika mwishoni wa mwaka huu. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.
Na Frank Mvungi- Maelezo
Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Kutoka Kimara mwisho...
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
TRA kuanza kutoa huduma mpya Tunduma
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kitengo cha Ushuru na Forodha, leo wanatarajiwa kuanza kutoa huduma ya kuvushwa mizigo katika mpaka Tunduma kwa kutumia mfumo mpya ujulikanao kwa jina la (TANCIS),...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mabasi yaendayo kasi kuanza kutoa huduma
WAKALA wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Hospitali za Apollo kutoa huduma za kiafya saa 24 kila siku ulimwenguni kote
![](http://2.bp.blogspot.com/-3JZvsorUO9E/Vld4HZh5TrI/AAAAAAAAIPE/BHC6BibJMx0/s640/Ms%2BSangita%2BReddy.jpg)
Bi. Sangita Reddy, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali za Apollo.
Na Mwandishi Wetu ,
Kurahisisha huduma za afya ulimwengu kote, watojia wakubwa wa huduma za afya kundi la hospitali za Apollo limebuni njia mpya madhubuti ya utoaji wa huduma za afya inayoitwa; Ask Apollo, njia bora mpya mahususi kwa wagonjwa walio mbali. Hii inathibitisha kupiga hatua zaidi kwa hospitali za Apollo na katika uwanja wa afya ulimwenguni.
Jitihada hizi kutoka hospitali za Apollo zitajenga mahusiano rahisi ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2LejrYVOkWM/U_tcfLWNniI/AAAAAAAGCSI/xDzfE1l6JmQ/s72-c/unnamed%2B(81).jpg)
Zoezi la kumtafuta Mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za jamii kuanza kesho
Jopo la majaji lililoundwa kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa tuzo ya Rais ya huduma za jamii na uwezeshaji katika miradi ya madini, gesi na mafuta linatarajia kuanza kazi yake kesho, imeelezwa.
Akizungumza katika kikao na majaji watakaoshiriki katika zoezi hilo kilichofanyika kwenye ofisi za Wizara ya Nishati na Madini Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava amesema kuwa kazi hiyo inayotarajiwa kukamilika Septemba 24,...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xhUffHNHQnI/Ux8T-7evATI/AAAAAAAFS3U/F_rhWquwZSY/s72-c/unnamed+(16).jpg)
Mabasi machache kuanza kutoa huduma kabla ya awamu ya kwaza kuisha - DART
![](http://1.bp.blogspot.com/-xhUffHNHQnI/Ux8T-7evATI/AAAAAAAFS3U/F_rhWquwZSY/s1600/unnamed+(16).jpg)
Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo aaraka (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa (DART), Bi. Asteria Mlambo aliwambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibu kuwa utekelezaji wa awamu ya kwanza unaendelea vizuri na kabla ya kukamirika hapo mwakani,kutakuwa na mabasi machache...