Mabasi yaendayo kasi kuanza kutoa huduma
WAKALA wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani
.jpg)
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mabasi machache kuanza kutoa huduma kabla ya awamu ya kwaza kuisha - DART
.jpg)
Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo aaraka (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa (DART), Bi. Asteria Mlambo aliwambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibu kuwa utekelezaji wa awamu ya kwanza unaendelea vizuri na kabla ya kukamirika hapo mwakani,kutakuwa na mabasi machache...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mradi wa mabasi yaendayo kasi wapiga hatua
MRADI wa mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri, itakayofanya kazi ya kuhakikisha wanapatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo, unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.
9 years ago
Habarileo03 Jan
Wadau kujadili nauli mabasi yaendayo kasi
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wiki ijayo inakutana na wadau kujadili nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo kasi.
10 years ago
GPLUJENZI STENDI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Dar imejipangaje usafiri wa mabasi yaendayo kasi?
11 years ago
Dewji Blog03 Jun
Pinda afungua mkutano wa mabasi yaendayo kasi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkurano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Dar Rapid Transit) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, Juni 3, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bw. Philippe Dongier baada ya kufungua Mkutano waMajadiliano wa kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu,...
11 years ago
GPLTASWIRA YA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI