Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo.  Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI

Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo. Waziri Magufuli akihutubia wadau waliofika katika sherehe hizo fupi katika Bandari ya Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa  wa Dar e s Salaam, Mecky Sadick, akizungumza na wadau…

 

9 years ago

Michuzi

DAR ES SALAAM, BAGAMOYO KUKOSA HUDUMA YA MAJI KESHO

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linasikitika kuwatangazia  wakazi wa jiji la Dar-es-salaam na  Mji wa Bagamoyo kuwa Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa Saa 24 siku ya Jumapili, Tarehe 13/12/2015.
Mtambo wa Ruvu Chini utazimwa kutokana na matengenezo na Maboresho ya Njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo katika Jiji la Dar es salaam kukosa...

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

MV Dar es Salaam yaanza majaribio, yaenda bagamoyo na kurudi Dar

Waziri wa Ujenzi Dk, John Magufuli leo amewaongoza wananchi wa jiji la Dar es Salaam kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo.

 

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AFANYA UKAGUZI WA KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo na kurudi kwa safari ya majaribio kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam alichokikagua leo.
Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300.
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakipanda kivuko cha MV Dar...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi

CAMPIX PRODUCTION

Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.

UAE Ambassador to Tanzania Abdullah Ibrahim Al Suwaidi (R) welcomes Etihad Airways’ Senior Vice President - Global Sales, Daniel Barranger (L) upon the arrival of Etihad Airways’ inaugural flight to Tanzania at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam on Tuesday December 1, 2015. PHOTO | FARAJA JUBE

Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU ASHIRIKI USAFI WA FUKWE ZA BAHARI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu ameawagiza Wakurugenzi wa Manispaa za Ilala na Kinondoni kuhakikisha fukwe zote zilizopo katika Manispaa zao zinasafishwa na  kufanyiwa usafi kila mara na kukusanya uchafu wote uliokusanywa katika maeneo ya fukwe. Ameyasema hayo wakati aliposhiriki usafi wa kusafisha fukwe za bahari eneo la Salander Bridge jijini Dar es Salaam.
Aliongeza kuwa anawashukuru sana kikundi cha utunzaji wa mazingira cha Save the Coast kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani