Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA JIJI LA DAR KUTOKEA BAHARI YA HINDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo.  Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

NDEGE ILIYOPOTEA IMEANGUKIA BAHARI YA HINDI

Waziri Mkuu wa Malaysia Najib Razak akitangaza leo juu ya utafiti wa rada kuonyesha kuwa ndege iliyopotea imeangukia katika bahari ya Hindi.…

 

9 years ago

Global Publishers

Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi

meli

Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo.

meli 2

Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti.

Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.

Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo. 

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA UJERUMANI AJIVUNIA USALAMA BAHARI YA HINDI

DSC_0001Balozi wa Ujerumani nchini Mh. Egon Kochanke (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakiwamo viongozi mbalimbali wa Serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kwenye hafla maalum ya kuwakaribisha na kuwapongeza wanajeshi wa kikosi cha wanamaji wa meli ya kivita ya Ujerumani FGS Lübeck, inayofanya doria katika ukanda wa Bahari ya Hindi kama sehemu ya jeshi la kimataifa linaloendesha operesheni Atalanta chini ya kamanda Peter Christian Semrau (kulia) iliyofanyika ndani ya meli...

 

11 years ago

Mwananchi

Hatua kali zichukuliwe majanga ya meli Bahari ya Hindi

Matukio ya ajali za Bahari ya Hindi kwa upande wa Zanzibar yamekuwa yakitokea mara kwa mara licha ya ahadi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwamba wanafanya kila aina ya juhudi kuhakikisha katu hayatokei.

 

11 years ago

GPL

ZAIDI YA KILO 200 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN ZAKAMATWA BAHARI YA HINDI

Jahazi lililokamatwa na madawa ya kulevya. ZAIDI ya kilo 200 za madawa ya kulevya aina ya Heroin yamekamatwa na kikosi cha polisi wanamaji katika Bahari ya Hindi yakisafirishwa kutokea nchini Irani pamoja na mabaharia kumi na wawili kutoka nchi ya Irani na Pakistani. Kamanda wa polisi kikosi cha wanamaji Mboje Kanga ameeleza kuwa tukio hilo lililotokea usiku wa tarehe 4 majira ya saa sita usiku ambapo waliweza kukamata jahazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani