KIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI
Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo. Waziri Magufuli akihutubia wadau waliofika katika sherehe hizo fupi katika Bandari ya Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa  wa Dar e s Salaam, Mecky Sadick, akizungumza na wadau…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-bZnR9tmZ_rw/VA4W9K5DchI/AAAAAAAGiJk/QVCC2doAHvs/s1600/unnamed%2B%2813%29.jpg?width=650)
KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bZnR9tmZ_rw/VA4W9K5DchI/AAAAAAAGiJk/QVCC2doAHvs/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Kivuko kipya cha Mv Dar kuwasili nchini mwezi ujao
NA MUSSA YUSUPH
SERIKALI imetangaza kukamilika kwa ujenzi wa Kivuko kipya cha Mv Dar es Salaam,
kitakachokuwa na uwezo wa kuvusha watu zaidi ya 300 kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo.
Kukamilika kwa kivuko hicho, kinachotarajiwa kuwasili nchini katika kipindi cha wiki tatu zijazo,kunatokana na jitihada za serikali katika kupunguza msongamano wa magari na shida ya usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Mbali na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya abiria, kivuko hicho pia kitakuwa na kasi...
11 years ago
Habarileo12 Dec
Denmark watengeneza kivuko cha Dar-Bagamoyo
KIVUKO cha kisasa kinajengwa nchini Denmark kwa ajili ya usafiri kwa njia ya maji kutoka jijini Dar es Salaam hadi Bagamoyo. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi).
10 years ago
Habarileo18 Nov
Kivuko cha kisasa Dar- Bagamoyo chawasili
MCHAKATO wa kukabiliana na foleni katika Jiji la Dar es Salaam, jana ulipata msukumo mpya baada ya Serikali kupokea kivuko kipya kinachokwenda kasi zaidi kuliko vyote nchini, ambacho kitakuwa kikifanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, mkoani Pwani.
10 years ago
Habarileo28 Feb
Kivuko cha Dar-Bagamoyo chaanza safari
KIVUKO cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja.
11 years ago
MichuziMAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA
Waziri Magufuli alitoa tamko hilo jana kabla ya kuzindua kivuko hicho kipya katika kijiji cha Iramba wilayani Bunda mkoani Mara. “Ndugu zangu wa Iramba kitunzeni kivuko hiki kwani ni mkombozi mkubwa katika kuwaletea maendeleo yenu pamoja na maeneo ya jirani” Alisema Waziri Magufuli Pia Waziri Magufuli aliwaasa wavuvi kutotega...
10 years ago
Habarileo08 Jan
Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...