Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivuko kipya cha Mv Dar kuwasili nchini mwezi ujao


NA MUSSA YUSUPH
SERIKALI imetangaza kukamilika kwa ujenzi wa Kivuko kipya cha Mv Dar es Salaam,
kitakachokuwa na uwezo wa kuvusha watu zaidi ya 300 kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo.
Kukamilika kwa kivuko hicho, kinachotarajiwa kuwasili nchini katika kipindi cha wiki tatu zijazo,kunatokana na jitihada za serikali katika kupunguza msongamano wa magari na shida ya usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Mbali na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya abiria, kivuko hicho pia kitakuwa na kasi...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kituo kipya cha daladala Ubungo kuanza mwezi ujao

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda KITUO kipya cha daladala kilichopo eneo la Migombani jirani na jengo la Mawasiliano kitakachochukua nafasi ya kituo cha Ubungo kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa.

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI

Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo. Waziri Magufuli akihutubia wadau waliofika katika sherehe hizo fupi katika Bandari ya Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa  wa Dar e s Salaam, Mecky Sadick, akizungumza na wadau…

 

10 years ago

Michuzi

Kivuko kipya cha Msangamkuu chawasili Mkoani Mtwara

Kivuko cha Msangamkuu( MV Mafanikio) chenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 50 pamoja na abiria 100 kikiwasili Mkoani Mtwara tayari kwa kuanza kazi rasmi ya kutoa huduma kati ya upande wa Mtwara Mjini na Msangamkuu. Kivuko kipya cha (MV Mafanikio) kama kinavyoonekana mara baada ya Serikali kutekeleza ahadi yake ya kuwaletea wananchi wa Mtwara Kivuko hicho kipya. Wananchi wakikimbia kuingia ndani ya Kivuko hicho kipya cha (MV Mafanikio) huku wakishangilia kuonyesha furaha yao mara baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT BILALI AZINDUA Kivuko Kipya cha MV Tegemeo jijini Mwanza

 Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko hicho kipya cha MV Tegemeo.

 Kivuko kipya na chakisasa cha MV Tegemeo kama kinavyoonekana, kimetengenezwa kama mfano wa Meli kutokana na huduma zake.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal jinsi kivuko kipya cha MV Tegemeo kitakavyofanya kazi. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mhandisi Marceline Magesa akimuonesha...

 

11 years ago

Habarileo

Mkutano kujadili ujangili mwezi ujao Dar

SERIKALI imeendelea kuweka mikakati ya kupambana na ujangili nchini kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa. Imeandaa mkutano wa kuwezesha utekelezaji wa shughuli za kuzuia ujangili na kupiga marufuku biashara ya vifaa vinavyotengenezwa kwa meno ya tembo halali na haramu.

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo.  Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini. Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya  kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyamavya Kijamii ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani