Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano kujadili ujangili mwezi ujao Dar

SERIKALI imeendelea kuweka mikakati ya kupambana na ujangili nchini kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa. Imeandaa mkutano wa kuwezesha utekelezaji wa shughuli za kuzuia ujangili na kupiga marufuku biashara ya vifaa vinavyotengenezwa kwa meno ya tembo halali na haramu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CHINA KUFANYA MKUTANO WA PILI WA USHIRIKIANO NA AFRICA (FOCAS) MWEZI UJAO AFRIKA KUSINI

 Balozi mdogo wa china hapa nchini Mhe. Zhang Biao  akizungumza na wandishi wa habari kuhusu mkutano wa pili wa ushirikiano na africa utakaofanyika mwezi ujao Nchini Afrika yakusini ambao Utaongozwa na Rais wa China Xi Jinping  pamoja na wakuu wanchi wapatao hamsini katikakuangalia furusa zinazo tolewa na China katika kuleta maendeo africaMkutano wa pili wa taasisi ya ushirikiano kati ya China na Afrika –FOCAC- utafanyika mjini Johanesburg nchini Afrika kusini mwanzoni mwa mwezi ujao...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kivuko kipya cha Mv Dar kuwasili nchini mwezi ujao


NA MUSSA YUSUPH
SERIKALI imetangaza kukamilika kwa ujenzi wa Kivuko kipya cha Mv Dar es Salaam,
kitakachokuwa na uwezo wa kuvusha watu zaidi ya 300 kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo.
Kukamilika kwa kivuko hicho, kinachotarajiwa kuwasili nchini katika kipindi cha wiki tatu zijazo,kunatokana na jitihada za serikali katika kupunguza msongamano wa magari na shida ya usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Mbali na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya abiria, kivuko hicho pia kitakuwa na kasi...

 

10 years ago

Michuzi

FRIENDS OF DEVELOPMENTS (FOD) na Bigright YAANDAA MAPAMBANO ya NDONDI JIJINI DAR ES SALAAM mwezi ujao

Kampuni ya bigright promotion inategemea kuandaa pambano la masumbwi litakalopigwa tarehe 6/9/2015 katika ukumbi wa vijana , kinondoni jijini Dar es salaam.Katibu wa ngumi za kulipwa ambaye  ndie mratibu wa mpambano huo Ibrahim Kamwe (Bigright) amesema pambano hilo limeandaliwa kwa ajili ya kuamsha vijana kujituma na kujijengea mazingira ya kupenda kufanya kazi na sio kukaa vijiweni na kujiingiza katika utumiaji wa madawa na ukabaji.Bigright promotion ikishirikiana FRIENDS OF DEVELOPMENTS...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YARUHUSU LIGI KUU NNE ZA SOKA KUCHEZWA DAR NA MWANZA KUANZIA MWEZI UJAO

WAZIRI  DK.MWAKYEMBE LEONa Eleuteri Mangi- WHUSM, Dodoma.
Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi hizo na timu mwakilishi katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kuhusu uamuzi wa Serikali wa kuanza kwa ligi hizo baada ya kusitishwa kwa muda kufuatia ugonjwa mlipuko...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.

 Kamanda Mpinga, akishiriki dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.   Kamanda Mpiga...

 

10 years ago

Habarileo

Zabuni barabara za juu mwezi ujao

Waziri wa Ujenzi, Dk John MagufuliZABUNI ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao

Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani