Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao
UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4i1w6W-bFmE/U7MBkgH5VuI/AAAAAAAFt_4/haAWClKy-xo/s72-c/images.jpg)
WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi
![](http://2.bp.blogspot.com/-4i1w6W-bFmE/U7MBkgH5VuI/AAAAAAAFt_4/haAWClKy-xo/s1600/images.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...
10 years ago
Mtanzania13 May
Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.
Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...
10 years ago
Habarileo01 Jan
Tunapokea maoni ugawaji majimbo - ZEC
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema bado inaendelea na mchakato wa kupokea maoni na kuyachambua kuhusu ugawaji wa majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Ugawaji wa majimbo uzingatie bajeti yetu
10 years ago
Mtanzania08 May
Vijana CCM waikaba ZEC ugawaji majimbo
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuacha kuendeshwa na wanasiasa na badala yake itangaze mipaka ya majimbo ya uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
Imesema kitendo cha kushindwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria na utaratibu unaotaka mipaka ya majimbo itangazwe kila baada ya miaka 10.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka, alisema ZEC imepewa...
11 years ago
GPLAKON KUTUA KENYA MWEZI UJAO
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao
10 years ago
Habarileo12 Feb
Zabuni barabara za juu mwezi ujao
ZABUNI ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao.
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Mrithi wa Dk Slaa kujulikana mwezi ujao