Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKON KUTUA KENYA MWEZI UJAO

Rais Kenyatta akiwa na Akon nchini Marekani. MWANAMUZIKI wa RnB kutoka Marekani, Akon anatarajiwa kutua nchini Kenya mwezi ujao baada ya kukutana na Rais Uhuru Kenyatta hivi karibuni huko Marekani. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Akon ameandika kuwa atawasili nchini Kenya mwezi Septemba mwaka huu kujadiliana na Rais Uhuru Kenyatta na kuona jinsi wanavyoweza kulinufaisha Taifa la Kenya. Staa huyo ameonekana kuvutiwa na rekodi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

10 years ago

Habarileo

Zabuni barabara za juu mwezi ujao

Waziri wa Ujenzi, Dk John MagufuliZABUNI ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

9 years ago

Mwananchi

Mrithi wa Dk Slaa kujulikana mwezi ujao

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema mchakato wa kumpata katibu mkuu wake utaanza mwezi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao

Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Hatima walioadhibiwa CCM mwezi ujao

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape NnauyeHATIMA ya makada sita wa CCM walioadhibiwa mwanzoni mwa mwaka jana wakihusishwa kuanza mapema harakati za kuusaka urais wa Tanzania kabla ya wakati uliopangwa na chama hicho tawala, sasa itajulikana mwezi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema umeme wa gesi utaanza kutumika mwezi ujao baada ya ujenzi wa bomba la kupitisha gesi hiyo kukamilika kwa asilimia 100.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Askofu Gwajima kunguruma mwezi ujao

Kesi zinazomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu zitaanza kuunguruma katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Septemba 10 mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Mkutano kujadili ujangili mwezi ujao Dar

SERIKALI imeendelea kuweka mikakati ya kupambana na ujangili nchini kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa. Imeandaa mkutano wa kuwezesha utekelezaji wa shughuli za kuzuia ujangili na kupiga marufuku biashara ya vifaa vinavyotengenezwa kwa meno ya tembo halali na haramu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani