Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.
Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Ugawaji wa majimbo uzingatie bajeti yetu
10 years ago
Habarileo19 Jun
Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao
UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
10 years ago
Habarileo01 Jan
Tunapokea maoni ugawaji majimbo - ZEC
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema bado inaendelea na mchakato wa kupokea maoni na kuyachambua kuhusu ugawaji wa majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
10 years ago
Mtanzania08 May
Vijana CCM waikaba ZEC ugawaji majimbo
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuacha kuendeshwa na wanasiasa na badala yake itangaze mipaka ya majimbo ya uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
Imesema kitendo cha kushindwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria na utaratibu unaotaka mipaka ya majimbo itangazwe kila baada ya miaka 10.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka, alisema ZEC imepewa...
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Ukawa wapinga ushindi wa CCM majimbo sita
11 years ago
Habarileo30 Jan
Wabunge wapinga Kiingereza shuleni
MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Wakati wabunge hao wakiwa na msimamo huo, jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali haijafikia uamuzi wa kuruhusu Kiingereza kutumkika kuanzia shule za msingi, na hivi sasa inashughulikia changamoto kubwa zaidi.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia Nigeria wapinga posho za wabunge