Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge
Raia wa Nigeria wametoa hisia zao za ghadhabu kufuatia ripoti kuwa wabunge kujipa mamilioni ya dola ikiwemo pesa ya mavazi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia Nigeria wapinga posho za wabunge
10 years ago
BBCSwahili01 May
Raia wapinga mauaji ya washukiwa Garissa
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Raia Misri wapinga hukumu ya Mubarak
11 years ago
Habarileo21 Feb
Posho yagawa wabunge
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likiunda kamati maalumu ya kufuatilia suala la nyongeza ya posho za wajumbe, umetokea mgawanyiko miongoni mwa wabunge hao. Kamati iliyoundwa itafuatilia na kisha kuishauri Serikali iwaongeze posho wajumbe hao huku baadhi yao, wakipinga na kutaka wananchi wasimame kidete kuipinga.
11 years ago
Habarileo28 Mar
Wabunge wajutia posho
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababisha kuahirishwa, hivyo kuzua wasiwasi wa kutotekelezwa malengo yaliyowapeleka. Makundi yenye uwakilishi ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, katika kujiengua na shutuma yamenyooshea wanasiasa vidole na kusema wanavuruga mwenendo wa Bunge hilo kwa maslahi ya vyama vyao.
10 years ago
Mtanzania13 May
Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.
Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...
11 years ago
Habarileo30 Jan
Wabunge wapinga Kiingereza shuleni
MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Wakati wabunge hao wakiwa na msimamo huo, jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali haijafikia uamuzi wa kuruhusu Kiingereza kutumkika kuanzia shule za msingi, na hivi sasa inashughulikia changamoto kubwa zaidi.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Tanga walia posho za Wabunge