Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Posho yagawa wabunge

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likiunda kamati maalumu ya kufuatilia suala la nyongeza ya posho za wajumbe, umetokea mgawanyiko miongoni mwa wabunge hao. Kamati iliyoundwa itafuatilia na kisha kuishauri Serikali iwaongeze posho wajumbe hao huku baadhi yao, wakipinga na kutaka wananchi wasimame kidete kuipinga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wabunge wajutia posho

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababisha kuahirishwa, hivyo kuzua wasiwasi wa kutotekelezwa malengo yaliyowapeleka. Makundi yenye uwakilishi ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, katika kujiengua na shutuma yamenyooshea wanasiasa vidole na kusema wanavuruga mwenendo wa Bunge hilo kwa maslahi ya vyama vyao.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga walia posho za Wabunge

Baadhi ya wakazi wa jijini Tanga, wamelalamikia kiwango kikubwa cha posho wanacholipwa wajumbe wa Baraza la Bunge la Katiba na kusema kuwa kiwango hicho ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge waota posho kupanda

JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi mbalimbali za umma linazidi kuwaandama wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambapo juzi walitumiwa ujumbe kuwa zimeongezeka na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amshupalia JK posho za wabunge

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete imefanya kufuru kwa kupanga kutumia zaidi ya sh bilioni 59 kwa ajili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge

Raia wa Nigeria wametoa hisia zao za ghadhabu kufuatia ripoti kuwa wabunge kujipa mamilioni ya dola ikiwemo pesa ya mavazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia Nigeria wapinga posho za wabunge

Wananchi wa Nigeria wawapinga wabunge wao kwa kujinufaisha na fedha za umma kwa kujilipa posho ya maelfu ya dola

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wakataa posho Sh 300,000

Mbunge wa Sumve, Richard NdassaWAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai posho nono.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waliokwepa safari watakiwa kurejesha posho

Sakata la wabunge waliochukua posho kwa ajili ya safari za mafunzo nje ya nchi na kuacha kusafiri, limeingia hatua mpya baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwataka wazirudishe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani