Raia wapinga mauaji ya washukiwa Garissa
Wakaazi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamevishtumu vikosi vya usalama kwa kuwaua washukiwa wa ugaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Apr
Shambulio Garissa:Washukiwa 5 wakamatwa
Serikali ya Kenya inasema watu 5 wanazuiliwa kufuatia shambulizi lililondeshwa na kundi la Al shabaab huko Garissa
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Washukiwa wa mauaji Ufaransa wauawa
Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimeripoti kwamba washukiwa wawili katika mauaji ya Charlie Hebdo wameuawa.
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Uganda yawakamata washukiwa wa Mauaji
Uganda inasema imekamata watu kadhaa kuhusiana na mauaji ya mwendesha mashtaka Joan Kagezi yaliyotokea wiki iliyopita.
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Washukiwa wa mauaji Mpeketoni wakamatwa
Polisi nchini Kenya wamesema kuwa wamewakamata washukiwa kadhaa wa mashambulizi yaliyofanyika mjini Mpeketoni na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 60.
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mahakama ya mauaji ya Rwanda yafunga washukiwa
Mahakama Maalum ya Kimataifa ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda imetoa hukumu yake ya mwisho, miaka 20 baada ya kuanza kazi na kuwapata na hatia watuhumiwa sita.
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Mauaji Garissa:Simanzi yatanda Nairobi
Biwi la simanzi lilitanda pale jamaa na marafiki wa wanafunzi waliouawa walipofika katika chumba cha kuhifadhia maiti,Nairobi
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Matukio 10 makuu baada ya mauaji Garissa
Imepita sasa juma moja tangu wanamgambo wa Al Shabaab kuua watu 148 huko Garissa,matukio 10 makuu yaliyofuatia tukio hilo.
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Watu 5 washtakiwa kwa mauaji ya Garissa
Watu watano wameshtakiwa kwa tuhuma za kula njama za kufanya kitendo cha ugaidi kuhusiana na shambulio lililofanywa na Al Shabaab huko Garissa
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Raia Misri wapinga hukumu ya Mubarak
Polisi nchini Misri wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga hatua ya mahakama nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania