Wabunge wapinga Kiingereza shuleni
MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Wakati wabunge hao wakiwa na msimamo huo, jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali haijafikia uamuzi wa kuruhusu Kiingereza kutumkika kuanzia shule za msingi, na hivi sasa inashughulikia changamoto kubwa zaidi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Wananchi wapinga Kiingereza bungeni
BAADHI ya wananchi wamepinga utaratibu wa wageni kutoka Kenya kutoa semina ya upatikanaji wa Katiba mpya katika nchi zao kwa Kiingereza licha ya kuwepo kwa mkalimani. Akizunguzungumza na Tanzania Daima...
10 years ago
Mtanzania13 May
Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.
Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia Nigeria wapinga posho za wabunge
11 years ago
Habarileo16 May
Madiwani wapinga kushiriki uchaguzi na wabunge, rais
WAJUMBE wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (Alat), ambao wengi ni madiwani wamepinga utaratibu wa Uchaguzi Mkuu, kutumiwa na wananchi kuchagua rais, wabunge na madiwani.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Wabunge wapinga kesi za rushwa kupitia kwa DPP
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wametaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ipewe meno ya kushughulikia rushwa kubwa na wahujumu uchumi na wenyewe wapeleke watuhumiwa wao moja kwa moja kortini.
11 years ago
Habarileo10 Jun
Wabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa
WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla.
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Kiswahili dhidi ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Kiingereza?