Wabunge wapinga kesi za rushwa kupitia kwa DPP
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wametaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ipewe meno ya kushughulikia rushwa kubwa na wahujumu uchumi na wenyewe wapeleke watuhumiwa wao moja kwa moja kortini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 May
Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.
Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...
11 years ago
Habarileo30 Jan
Wabunge wapinga Kiingereza shuleni
MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Wakati wabunge hao wakiwa na msimamo huo, jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali haijafikia uamuzi wa kuruhusu Kiingereza kutumkika kuanzia shule za msingi, na hivi sasa inashughulikia changamoto kubwa zaidi.
10 years ago
Habarileo06 Dec
Maombi ya DPP kesi ya Lwakatare yatupwa
KESI ya ugaidi iliyowasilishwa katika Mahakama ya Rufaa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kuomba marejeo ya hukumu ya Mahakama Kuu iliyompa ushindi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, imetupiliwa mbali kutokana na kuwepo kwa upungufu wa kisheria.
10 years ago
Habarileo21 Aug
DPP aruhusu kesi ya Mvietnam kuendelea
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imepata hati kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili raia wa Vietnam, Lyan Dong.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia Nigeria wapinga posho za wabunge
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Wanasheria wapinga kufutwa kesi Z’bar
11 years ago
Habarileo16 May
Madiwani wapinga kushiriki uchaguzi na wabunge, rais
WAJUMBE wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (Alat), ambao wengi ni madiwani wamepinga utaratibu wa Uchaguzi Mkuu, kutumiwa na wananchi kuchagua rais, wabunge na madiwani.