Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunapokea maoni ugawaji majimbo - ZEC

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema bado inaendelea na mchakato wa kupokea maoni na kuyachambua kuhusu ugawaji wa majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vijana CCM waikaba ZEC ugawaji majimbo

hamduNa Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuacha kuendeshwa na wanasiasa na badala yake itangaze mipaka ya majimbo ya uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
Imesema kitendo cha kushindwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria na utaratibu unaotaka mipaka ya majimbo itangazwe kila baada ya miaka 10.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka, alisema ZEC imepewa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo

Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.

Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.

Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...

 

10 years ago

Habarileo

Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Mwananchi

Ugawaji wa majimbo uzingatie bajeti yetu

Hivi karibuni, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kuanza mchakato wa kutangaza majimbo mapya kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu.

 

9 years ago

TZToday

10 years ago

Vijimambo

MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI


Nape Nnauye akizungumza kwenye moja ya mikutano na waandishi wa habari
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi   katika majimbo matano  kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato  huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.Amesema baada ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kura ya maoni katika majimbo ya Ukraine

Kura ya maoni yafanyika katika majimbo ya Donetsk na Luhansk yaliyoko mashariki mwa Ukraine .

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa

123

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.

Tathmini ya Upigaji Kura

Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...

 

9 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani