MAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John P. Magufuli amewataka wakazi wa Iramba na Majita kutunza kivuko kipya cha MV Mara ili kiweze kuwasaidia katika kuinua uchumi wa maeneo hayo.
Waziri Magufuli alitoa tamko hilo jana kabla ya kuzindua kivuko hicho kipya katika kijiji cha Iramba wilayani Bunda mkoani Mara. “Ndugu zangu wa Iramba kitunzeni kivuko hiki kwani ni mkombozi mkubwa katika kuwaletea maendeleo yenu pamoja na maeneo ya jirani” Alisema Waziri Magufuli Pia Waziri Magufuli aliwaasa wavuvi kutotega...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT BILALI AZINDUA Kivuko Kipya cha MV Tegemeo jijini Mwanza
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPLKIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Magufuli azindua kivuko Mwanza
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MAGUFULI AZINDUA KIVUKO KINGINE MKOANI MWANZA
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT.MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA MWANZA NA SINGIDA AZINDUA KIVUKO CHA MV.TEMESA NA KUKAGUA DARAJA LA MBUTU
11 years ago
MichuziKivuko kipya cha Msangamkuu chawasili Mkoani Mtwara
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Kivuko kipya cha Mv Dar kuwasili nchini mwezi ujao
NA MUSSA YUSUPH
SERIKALI imetangaza kukamilika kwa ujenzi wa Kivuko kipya cha Mv Dar es Salaam,
kitakachokuwa na uwezo wa kuvusha watu zaidi ya 300 kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo.
Kukamilika kwa kivuko hicho, kinachotarajiwa kuwasili nchini katika kipindi cha wiki tatu zijazo,kunatokana na jitihada za serikali katika kupunguza msongamano wa magari na shida ya usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Mbali na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya abiria, kivuko hicho pia kitakuwa na kasi...
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Kikwete azindua kivuko Mtwara
RAIS Jakaya Kikwete, amezindua kivuko cha MV. Mafanikio, kilichonunuliwa kwa gharama ya Sh. bilioni 3.3.
Kivuko hicho kinachomaliza kero ya muda mrefu ya wananchi wa Mtwara mjini na Kata ya Msanga Mkuu, kimenunuliwa kwa fedha za serikali na kina uwezo wa kubeba tani 50.
Akizindua kivuko hicho jana mjini hapa, Rais Kikwete alisema uzinduzi huo ni tunda la utendaji bora wa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.
“Tuliahidi na ahadi imetimia. Haya ni matunda mazuri ya utendaji mahiri...