Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli azindua kivuko Mwanza

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana alizindua Kivuko cha Mv Temesa kitakachokuwa kinafanya shughuli zake katika mwambao wa Ziwa Victoria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AZINDUA KIVUKO KINGINE MKOANI MWANZA

Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ameagiza Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kutopakia magari ndani ya kivuko kipya cha MV TEMESA ili kibebe wananchi wengi zaidi katika mwambao wa ziwa Victoria. Dkt.Magufuli alitoa agizo hilo  katika kijiji cha Swea nje kidogo ya jiji la Mwanza wakati akikizindua kivuko hicho kitakachokuwa kinatoka Luchelele hadi mjini huku kikipitia katika vituo mbalimbali vitakavyowekwa. Waziri Magufuli alisema kuwa agizo hilo la kutobeba magari litasaidia kuongeza idadi...

 

11 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA MWANZA NA SINGIDA AZINDUA KIVUKO CHA MV.TEMESA NA KUKAGUA DARAJA LA MBUTU

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na ziara ya kikazi Jijini Mwanza ambapo leo amezindua kivuko cha MV.TEMESA kitakachofanya safari zake kutokea Luchele kupitia mwambao wa ziwa Victoria. Kivuko hiki kimetengenezwa/kimejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 640 na ni kivuko pekee chenye mwedo kasi kuliko vyote Tanzania, kina uwezo wa kubeba tani 65. Wengine walioshiriki katika uzinduzi huo ni Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi), Mhandisi Evarist Ndikilo...

 

10 years ago

Michuzi

DKT BILALI AZINDUA Kivuko Kipya cha MV Tegemeo jijini Mwanza

 Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko hicho kipya cha MV Tegemeo.

 Kivuko kipya na chakisasa cha MV Tegemeo kama kinavyoonekana, kimetengenezwa kama mfano wa Meli kutokana na huduma zake.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal jinsi kivuko kipya cha MV Tegemeo kitakavyofanya kazi. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mhandisi Marceline Magesa akimuonesha...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA

Waziri wa Ujenzi, Dkt. John P. Magufuli amewataka wakazi wa Iramba na Majita kutunza kivuko kipya cha MV Mara ili kiweze kuwasaidia katika kuinua uchumi wa maeneo hayo.
Waziri Magufuli alitoa tamko hilo jana kabla ya kuzindua kivuko hicho kipya katika kijiji cha Iramba wilayani Bunda mkoani Mara. “Ndugu zangu wa Iramba kitunzeni kivuko hiki kwani ni mkombozi mkubwa katika kuwaletea maendeleo yenu pamoja na maeneo ya jirani” Alisema Waziri Magufuli Pia Waziri Magufuli aliwaasa wavuvi kutotega...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kikwete azindua kivuko Mtwara

RAIS Jakaya Kikwete, amezindua kivuko cha MV. Mafanikio, kilichonunuliwa kwa gharama ya Sh. bilioni 3.3.

Kivuko hicho kinachomaliza kero ya muda mrefu ya wananchi wa Mtwara mjini na Kata ya Msanga Mkuu, kimenunuliwa kwa fedha za serikali na kina uwezo wa kubeba tani 50.

Akizindua kivuko hicho jana mjini hapa, Rais Kikwete alisema uzinduzi huo ni tunda la utendaji bora wa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.

“Tuliahidi na ahadi imetimia. Haya ni matunda mazuri ya utendaji mahiri...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AZINDUA KIVUKO CHA MV MAFANIKIO MKOANI MTWARA

 Sherehe za uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara. Kivuko hicho kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 mara moja na kimetengenezwa kuanzia mwaka jana kwa gharama ya shilingi Bilioni 3.3 Rais Kikwete akizindua rasmi kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.
  Rais Kikwete akiongea na wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

JK AZINDUA KIVUKO CHA MV MAFANIKIO MKOANI MTWARA MCHANA HUU

 Sherehe za uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara. Kivuko hicho kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 mara moja na kimetengenezwa kuanzia mwaka jana kwa gharama ya shilingi Bilioni 3.3 Rais Kikwete akizindua rasmi kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.  Rais Kikwete akiongea na wananchi...

 

11 years ago

GPL

FOLENI KIVUKO CHA BUSISI MWANZA

Foleni kubwa ya magari katika kivuko cha Busisi mkoani Mwanza ikiwa ni siku ya tatu leo kivuko kikiwa kimoja tu katika eneo hilo. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO, TUTUMIE KUPITIA NAMBA HIYO)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani