Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FOLENI KIVUKO CHA BUSISI MWANZA

Foleni kubwa ya magari katika kivuko cha Busisi mkoani Mwanza ikiwa ni siku ya tatu leo kivuko kikiwa kimoja tu katika eneo hilo. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO, TUTUMIE KUPITIA NAMBA HIYO)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

10 years ago

Michuzi

DKT BILALI AZINDUA Kivuko Kipya cha MV Tegemeo jijini Mwanza

 Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko hicho kipya cha MV Tegemeo.

 Kivuko kipya na chakisasa cha MV Tegemeo kama kinavyoonekana, kimetengenezwa kama mfano wa Meli kutokana na huduma zake.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal jinsi kivuko kipya cha MV Tegemeo kitakavyofanya kazi. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mhandisi Marceline Magesa akimuonesha...

 

11 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA MWANZA NA SINGIDA AZINDUA KIVUKO CHA MV.TEMESA NA KUKAGUA DARAJA LA MBUTU

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na ziara ya kikazi Jijini Mwanza ambapo leo amezindua kivuko cha MV.TEMESA kitakachofanya safari zake kutokea Luchele kupitia mwambao wa ziwa Victoria. Kivuko hiki kimetengenezwa/kimejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 640 na ni kivuko pekee chenye mwedo kasi kuliko vyote Tanzania, kina uwezo wa kubeba tani 65. Wengine walioshiriki katika uzinduzi huo ni Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi), Mhandisi Evarist Ndikilo...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

11 years ago

Mwananchi

Magufuli azindua kivuko Mwanza

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana alizindua Kivuko cha Mv Temesa kitakachokuwa kinafanya shughuli zake katika mwambao wa Ziwa Victoria.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AZINDUA KIVUKO KINGINE MKOANI MWANZA

Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ameagiza Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kutopakia magari ndani ya kivuko kipya cha MV TEMESA ili kibebe wananchi wengi zaidi katika mwambao wa ziwa Victoria. Dkt.Magufuli alitoa agizo hilo  katika kijiji cha Swea nje kidogo ya jiji la Mwanza wakati akikizindua kivuko hicho kitakachokuwa kinatoka Luchelele hadi mjini huku kikipitia katika vituo mbalimbali vitakavyowekwa. Waziri Magufuli alisema kuwa agizo hilo la kutobeba magari litasaidia kuongeza idadi...

 

11 years ago

Michuzi

DC Hai atembelea kivuko cha mnepo cha Kiyungi, aahidi kukifanyia ukarabati

Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga ametembelea kivuko cha Kiyungi kinachofahamika kama daraja la Mnepo kinachounganisha wilaya ya Hai na Moshi ambacho sasa hivi kipo katika hali mbaya kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Mhe Makunga ameahidi kwamba kivuko hicho kitaanza kufanyiwa ukarabati wa dhararu Jumamosi ijayo angalau kiweze kutumika wakati zinasubiriwa fedha za ujenzi wa kivuko kipya.Ameeleza kuwa kampuni ya Sukari ya TPC imekubali kutoa baadhi ya vifaa vya ukarabati.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha Mv Sengerema

PG4A7006

Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha kigamboni jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini, ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii. Mtendaji Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani