UZINDUZI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini, ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii. Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2OUxe_Nw710/UwslrwEzSAI/AAAAAAAFPOk/zDuva_Dvzn8/s72-c/IMG_3385.jpg)
Anawahi kivuko cha kwenda Kigamboni
![](http://2.bp.blogspot.com/-2OUxe_Nw710/UwslrwEzSAI/AAAAAAAFPOk/zDuva_Dvzn8/s1600/IMG_3385.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZsM3hwxZL3k/UwslxcooSTI/AAAAAAAFPOs/HKsG37Z09QY/s1600/IMG_3386.jpg)
10 years ago
MichuziKIVUKO CHA MV. KIGAMBONI KUANZA KAZI KESHO KUTWA
10 years ago
Michuzi20 Aug
11 years ago
GPLMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
Akizungumza mara baada ya Ukaguzi huo wa kushtukiza, Mhandisi Iyombe amekipongeza Kikosi hicho cha Wanamaji kwa kufanya kazi kwa kiwango cha juu na haraka hivyo kuwa na matumaini ya kukamilika kwa kazi hiyo kwa muda mfupi ili...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3TCepeJDKFI/VBIGO0xkfyI/AAAAAAAGjBQ/KcZFQuXH3pA/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-3TCepeJDKFI/VBIGO0xkfyI/AAAAAAAGjBQ/KcZFQuXH3pA/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7vwNewQyL_c/VBIGPCBJd_I/AAAAAAAGjBU/pTJvhZIqu4g/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Magufuli aahidi kivuko Kigamboni
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema Serikali inatarajia kuongeza kivuko kipya kitakachogharimu sh. bilioni 3.7 kwaajili ya kuvusha watu Kigamboni. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam katika ziara ya...