KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Kivuko cha MV Kigamboni kimeanza safari zake jioni ya leo baada ya ukarabati mkubwa uliofanywa na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli. Kivuko cha MV KIgamboni kikiwa majini kuelekea eneo la Ferry kwa ajili ya kuanza kutoa Huduma ya Usafiri.Abiria wakiingia kwenye Kivuko cha MV Kigamboni mara baada ya kuanza kufanya kazi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
10 years ago
Habarileo28 Feb
Kivuko cha Dar-Bagamoyo chaanza safari
KIVUKO cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja.
10 years ago
MichuziKIVUKO CHA MV. KIGAMBONI KUANZA KAZI KESHO KUTWA
10 years ago
MichuziKIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI
10 years ago
MichuziMTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
MTOTO mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri wa kujijengea uwezo wa kujiamini anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani, Lonnie Hudson maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya kongamano kubwa la watoto na wazazi katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...
5 years ago
MichuziKIWANDA CHA KUCHENJUA NA KUTAKASA MADINI CHAANZA KAZI RASMI JIJINI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...
10 years ago
Habarileo08 Jan
Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.