Denmark watengeneza kivuko cha Dar-Bagamoyo
KIVUKO cha kisasa kinajengwa nchini Denmark kwa ajili ya usafiri kwa njia ya maji kutoka jijini Dar es Salaam hadi Bagamoyo. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Feb
Kivuko cha Dar-Bagamoyo chaanza safari
KIVUKO cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja.
10 years ago
Habarileo18 Nov
Kivuko cha kisasa Dar- Bagamoyo chawasili
MCHAKATO wa kukabiliana na foleni katika Jiji la Dar es Salaam, jana ulipata msukumo mpya baada ya Serikali kupokea kivuko kipya kinachokwenda kasi zaidi kuliko vyote nchini, ambacho kitakuwa kikifanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, mkoani Pwani.
10 years ago
GPLKIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI
11 years ago
Habarileo22 May
Kivuko Dar-Bagamoyo Juni
SERIKALI imetangaza kununua kivuko kipya kitakachofanya kazi kati ya Magogoni – Kigamboni, jijini Dar es Salaam na Pangani na Bweni mkoani Tanga, huku ujenzi wa kivuko kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, ukitarajiwa kukamilika mwezi ujao nchini Bangladesh.
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Kivuko Dar- Bagamoyo kuanza kazi karibuni
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kivuko kitakachofanya safari zake Dar es Salaam hadi Bagamoyo kinatarajiwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi wiki tatu zijazo. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo...
10 years ago
GPLKIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
10 years ago
MichuziKIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI