Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivuko Dar-Bagamoyo Juni

SERIKALI imetangaza kununua kivuko kipya kitakachofanya kazi kati ya Magogoni – Kigamboni, jijini Dar es Salaam na Pangani na Bweni mkoani Tanga, huku ujenzi wa kivuko kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, ukitarajiwa kukamilika mwezi ujao nchini Bangladesh.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Kivuko Dar- Bagamoyo kuanza kazi karibuni

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kivuko kitakachofanya safari zake Dar es Salaam hadi Bagamoyo kinatarajiwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi wiki tatu zijazo. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Habarileo

Denmark watengeneza kivuko cha Dar-Bagamoyo

KIVUKO cha kisasa kinajengwa nchini Denmark kwa ajili ya usafiri kwa njia ya maji kutoka jijini Dar es Salaam hadi Bagamoyo. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi).

 

10 years ago

Habarileo

Kivuko cha kisasa Dar- Bagamoyo chawasili

MCHAKATO wa kukabiliana na foleni katika Jiji la Dar es Salaam, jana ulipata msukumo mpya baada ya Serikali kupokea kivuko kipya kinachokwenda kasi zaidi kuliko vyote nchini, ambacho kitakuwa kikifanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, mkoani Pwani.

 

10 years ago

Habarileo

Kivuko cha Dar-Bagamoyo chaanza safari

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo akimpokea Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli mara baada ya kuwasili Bagamoyo na Kivuko cha Mv Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).KIVUKO cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja.

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI

Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo. Waziri Magufuli akihutubia wadau waliofika katika sherehe hizo fupi katika Bandari ya Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa  wa Dar e s Salaam, Mecky Sadick, akizungumza na wadau…

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo.  Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA BAGAMOYO JUNI 14 MWAKA HUU

 Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment, Dominic Mosha katikati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na  tamasha la Historical Marathoni  katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Meneja mawasiliano wa kampuni ya Vision Investment Dorah Raymond na kulia ni Meneja wa Fedha wa kampuni ya  Vision Investment Fatma Mfundo.  
 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika  mkutano wa kutangazwa kwa Tamasha la Historical Marathoni litakalofanyika...

 

10 years ago

GPL

‘BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON’ KUFANYIKA JUNI 14, 2015

Meneja wa huduma wa kampuni ya Vision Investment, Dorah Raymond (kushoto) na muandaaji wa tamasha, Dominic Mosha (katikati) akiwa na Fatma Mfundo (kulia). Meza kuu ikisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani