Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK atoa ya moyoni mchakato wa Katiba

Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe watakaopata fursa ya kuingia kwenye Bunge la Katiba kuweka mbele masilahi ya Taifa badala ya makundi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAZA ATOA YA MOYONI KUHUSU MCHAKATO WA KATIKA MPYA

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM) Mohamedraza Hassanal (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar. Katika mazungumzo yake alisema ni Vyema Bunge la Katiba likaahirishwa ili kutoa fursa zaidi Watu wajihusishe na harakati za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na Kupatikane Wasaa mpana wa kujadiliana kwa dhamira ya dhati ya kupata Katiba Bora inayoridhiwa na upande wa Bara na Visiwani.

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CCM TAWI LA MOSCOW URUSI ATOA MSIMAMO WAKE JUU YA MCHAKATO WA KATIBA, ASEMA SERIKALI MBILI NDIO SULUHISHO

MWENYEKITI TAWI LA CCM MOSCOW URUSI, NDG SALIM MFUNGAHEMA: 
 Mwenyekiti tawi la CCM Moscow Ndg Mfungahema Salim amesema muundo wa muungano wa serikali Mbili ndio suluhisho pekee la watanzania, Akizungumza katika kikao cha kamati ya siasa ya tawi kilichofanyika 05.06.2014, bwana Mfungahema alisema muungano wa serikali mbili ndio umetufikisha hapa tulipo na kuna mafanikio makubwa TULIYOYAPATA, pamoja na changamoto chache zinazojitokeza lakini zinarekebishika.
 Bwana Mfungahema aliwataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bi. Hania atoa ya moyoni

MKALI wa filamu za Kibongo, Halima Issa ‘Bi Hania’, ameelezea kukerwa na kukithiri kwa tabia ya baadhi ya viongozi wa makundi ya sanaa kuendekeza vitendo vya ngono kwa wasanii wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ndugai atoa ya moyoni

MBUNGE wa Kongwa anayetetea nafasi yake, Job Ndugai amesema kumekuwa na njama za kumchafua ili kumharibia sifa yake kwani baadhi ya waliojitokeza kuwania ubunge katika jimbo hilo ni mapandikizi na wako kwa nia ya kufanya fujo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atoa ya moyoni

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporejea Agosti 5, wapitishe rasimu ya pili ya katiba kama njia ya kumuenzi mama yake Shida...

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyepigwa risasi atoa ya moyoni

Askari Magereza wa kike aliyejeruhiwa kwa risasi baada ya basi la jeshi hilo kushambuliwa kwa risasi na majambazi, amesema hakuhisi mpenyo wa risasi katika titi lake la kushoto mpaka alipokaguliwa na askari mwenzake.

 

5 years ago

Mwananchi

Mbowe atoa ya moyoni akililia demokrasia

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais John Magufuli kuacha kuwafunga mdomo Watanzania na kuijenga Tanzania kuwa Taifa la hofu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mama aliyefiwa na mtoto atoa ya moyoni

Devotha Mbutwa, mama wa mtoto Janeth Kihoko, aliyekufa wakati akiogelea na wenzake, amemsamehe mzazi wenzake aliyemchukua mwananye kwenda kwenye hoteli ambayo mauti ilimkuta.

 

10 years ago

Vijimambo

Mkapa atoa ya moyoni rais 2015

Rais Mstaafu,Benjamin Mkapa.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, amezungumzia mbio za kuwania urais wa 2015 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitaja sifa za mtu anayepaswa kuteuliwa kuwa mgombea wake, ikiwamo ya kukubalika na kuuzika kwa jamii.

Amesema kukubalika na kuuzika kwa mtu katika siasa kunatokana na utendaji, haiba, wasifu na ushawishi wa mtu huyo ndani ya chama na serikalini na kwamba, umri siyo kigezo cha kuangaliwa ingawa siyo dhambi vijana wakajitokeza kujitosa katika kinyang’anyiro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani