Mama aliyefiwa na mtoto atoa ya moyoni
Devotha Mbutwa, mama wa mtoto Janeth Kihoko, aliyekufa wakati akiogelea na wenzake, amemsamehe mzazi wenzake aliyemchukua mwananye kwenda kwenye hoteli ambayo mauti ilimkuta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Bi. Hania atoa ya moyoni
MKALI wa filamu za Kibongo, Halima Issa ‘Bi Hania’, ameelezea kukerwa na kukithiri kwa tabia ya baadhi ya viongozi wa makundi ya sanaa kuendekeza vitendo vya ngono kwa wasanii wa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Zitto atoa ya moyoni
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporejea Agosti 5, wapitishe rasimu ya pili ya katiba kama njia ya kumuenzi mama yake Shida...
10 years ago
Habarileo31 Jul
Ndugai atoa ya moyoni
MBUNGE wa Kongwa anayetetea nafasi yake, Job Ndugai amesema kumekuwa na njama za kumchafua ili kumharibia sifa yake kwani baadhi ya waliojitokeza kuwania ubunge katika jimbo hilo ni mapandikizi na wako kwa nia ya kufanya fujo.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Aliyepigwa risasi atoa ya moyoni
11 years ago
Mwananchi31 Dec
JK atoa ya moyoni mchakato wa Katiba
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Mbowe atoa ya moyoni akililia demokrasia
10 years ago
Vijimambo31 Oct
Mkapa atoa ya moyoni rais 2015
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mkapa-October31-2014.jpg)
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, amezungumzia mbio za kuwania urais wa 2015 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitaja sifa za mtu anayepaswa kuteuliwa kuwa mgombea wake, ikiwamo ya kukubalika na kuuzika kwa jamii.
Amesema kukubalika na kuuzika kwa mtu katika siasa kunatokana na utendaji, haiba, wasifu na ushawishi wa mtu huyo ndani ya chama na serikalini na kwamba, umri siyo kigezo cha kuangaliwa ingawa siyo dhambi vijana wakajitokeza kujitosa katika kinyang’anyiro...
10 years ago
Habarileo11 May
Maalim Seif atoa ya moyoni Dar
LICHA ya Chama cha Wananchi (CUF) kudai mara kwa mara kuwa kilishinda uchaguzi wa Urais mwaka 2010 visiwani Zanzibar, Katibu Mkuu wake Maalim Seif Sharif Hamad, amekiri kuwa hawana ushahidi stahiki wa kuthibitisha ushindi huo.