Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif atoa ya moyoni Dar

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif HamadLICHA ya Chama cha Wananchi (CUF) kudai mara kwa mara kuwa kilishinda uchaguzi wa Urais mwaka 2010 visiwani Zanzibar, Katibu Mkuu wake Maalim Seif Sharif Hamad, amekiri kuwa hawana ushahidi stahiki wa kuthibitisha ushindi huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif atoa tuhuma nzito ZEC

>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akidai kuwa iliandikisha na kuruhusu wapigakura wasiostahili zaidi ya 10,000 kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, wakiwamo marehemu 8,507.

 

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif na Lowassa wakutana Dar

SEIF NA LOWASSANa Elias Msuya

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chadema, Edward Lowassa, jijini Dar es Salaam jana na kusisitiza kuwa CUF haitarudia uchaguzi uliofutwa visiwani humo.Edward Lowassa

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya mkutano huo wa ndani, Maalim Seif alisema uchaguzi huo ulifutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salum Jecha binafsi.

“Msimamo...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif atumia Boti kwenda na kurudi Dar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana ya watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 1V) baada ya kuwasili bandari ya Dar es Salaam jana jioni akitokea Unguja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. (Picha na Freddy Maro /… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASAFIRI KWA BOTI KWENDA DAR NA KURUDI ZANZIBAR

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam. Aliondoka Zanzibar jana saa 9:30 jioni kwa boti ya (Kilimanjaro 1V) na kurejea kutoka Dar es Salaam leo saa 5:30 asubuhi kwa boti ya (Kilimanjaro 111) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif akutana na bw. ludovick Utouh, wanahabari wa Global publishers leo dar es salaam

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mdhibiti na Mkuaguzi Mkuu wa hesabu, Ludovick Utouh, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mdhibiti na Mkuaguzi Mkuu wa hesabu, Ludovick Utouh, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ndugai atoa ya moyoni

MBUNGE wa Kongwa anayetetea nafasi yake, Job Ndugai amesema kumekuwa na njama za kumchafua ili kumharibia sifa yake kwani baadhi ya waliojitokeza kuwania ubunge katika jimbo hilo ni mapandikizi na wako kwa nia ya kufanya fujo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani