Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif atoa tuhuma nzito ZEC

>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akidai kuwa iliandikisha na kuruhusu wapigakura wasiostahili zaidi ya 10,000 kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, wakiwamo marehemu 8,507.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Zitto atoa tuhuma nzito ufutaji misamaha

WAFANYABIASHARA wakubwa wanadaiwa kuwatumia baadhi ya wabunge kuhakikisha muswada wa kufuta misamaha ya kodi haupelekwi bungeni.

 

10 years ago

Mwananchi

ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar

Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, tume hiyo imeibuka na kukanusha vikali.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec.

Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec. NA RAHMA SULEIMAN 4th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif hamad, jana alirejesha fomu kimyakimya wala kuwa na wapambe wa chama […]

The post Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Malumbano haya ya Maalim Seif na ZEC yanaitia doa Z’bar

Juzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliitisha mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam na kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akidai kuwa iliandikisha na kuruhusu watu wasiostahili zaidi ya 10,000 kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, kati ya hao, 8,507 wakiwa ni marehemu.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif akabidhiwa fomu za urais Zanzibar, ailamu ZEC

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad jana alichukua fomu kuwania urais wa Zanzibar, ikiwa ni mara ya tano, safari hii akiwa chini ya mwamvuli wa Ukawa.

 

9 years ago

Dewji Blog

ZEC: Maalim Seif anapaswa kuchuliwa hatua za kisheria kwa kutangaza matokeo

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangazia ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili tarehe 25 Oktoba, 2015 na imevitaka vyombo vinavyosimamia utii wa sheria kumchukulia hatua kiongozi huyo wa CUF.

“kitendo cha Maalim Seif kujitangaza mshindi amevunja kifungu cha 42 (5) cha sheria ya mwaka 1984 ambacho kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kuwa chombo pekee chenye mamlaka hayo” Mwenyekiti...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif atoa ya moyoni Dar

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif HamadLICHA ya Chama cha Wananchi (CUF) kudai mara kwa mara kuwa kilishinda uchaguzi wa Urais mwaka 2010 visiwani Zanzibar, Katibu Mkuu wake Maalim Seif Sharif Hamad, amekiri kuwa hawana ushahidi stahiki wa kuthibitisha ushindi huo.

 

11 years ago

GPL

SNURA TUHUMA NZITO

Stori:  Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye alimrekodia nyimbo kadhaa wakati akisaka kutoka. Snura Mushi. Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Snura ameingia mitini na kiasi cha Tsh. 400,000 za prodyuza huyo na kwamba sasa amehamia studio nyingine. Risasi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuhuma nzito kwa mawaziri

 Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limedai kuwa baadhi ya mawaziri na manaibu wao wamekuwa wakilipwa posho za kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba hata wanapokuwa hawapo bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani