SNURA TUHUMA NZITO
![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QdRHhKxeimUZcp5Z*21CoF4Xn7p2gyAVtRyz4X4hUexITG8Zar*YXUq0dkAnnXeuN8oNhVjT5FP6qlk8S79Mv9*/snura.jpg?width=650)
Stori:Â Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye alimrekodia nyimbo kadhaa wakati akisaka kutoka. Snura Mushi. Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Snura ameingia mitini na kiasi cha Tsh. 400,000 za prodyuza huyo na kwamba sasa amehamia studio nyingine. Risasi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCh9ibp4HRyFayppRr5bIAuOaM6CND7iRS2*MFgbqcdbSe-IcUw0VFOxCSDea7qkkSCnrezOdbByMO-jxkNS5MMP/snura3.jpg?width=650)
BARUA NZITO: UKIMSHANGAA SNURA UTAKUTANA NA SHILOLE!
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Tuhuma nzito kwa mawaziri
11 years ago
Mwananchi18 May
Tuhuma nzito Bajeti Nishati na Madini
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Mkurugenzi wa Camatec ashushiwa tuhuma nzito
11 years ago
Habarileo08 May
Zitto atoa tuhuma nzito ufutaji misamaha
WAFANYABIASHARA wakubwa wanadaiwa kuwatumia baadhi ya wabunge kuhakikisha muswada wa kufuta misamaha ya kodi haupelekwi bungeni.
10 years ago
Mwananchi11 May
Maalim Seif atoa tuhuma nzito ZEC
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DcwImQmcCFLvMU-aOeaL4u9OSpkwcEIQM5VSv4-U0icJDWF*QlX1K1cJ2xE8V*pjRe0AgcjTKFkAKVlZdE3XelM/BACK.jpg)
TUHUMA NZITO: MAMA AMCHARANGA VIWEMBE MWANAYE
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Tuhuma nzito bungeni,ni za rushwa dhidi ya Waziri Mkuu Pinda
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HiP8Na2MwiV6dRqksoht1s8FZx0XVX8tyOasWDlRRx4cbQfz1mIo2GrYEpOvCojR3*pd1iM7Qsk6k3tYS7CPrbF/mamalulu.jpg?width=650)
MAMA WA LULU ATUPIWA TUHUMA NZITO, ANG’AKA