BARUA NZITO: UKIMSHANGAA SNURA UTAKUTANA NA SHILOLE!
![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCh9ibp4HRyFayppRr5bIAuOaM6CND7iRS2*MFgbqcdbSe-IcUw0VFOxCSDea7qkkSCnrezOdbByMO-jxkNS5MMP/snura3.jpg?width=650)
Snura Mushi. KWENU, Wasanii chipukizi katika muziki, Snura Mushi na Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Hongereni pia kwa kukubalika kwenu katika upande wa pili wa sanaa ya muziki mkitokea uigizaji. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Ni muda mrefu sana nafahamiana na Snura. Nakufahamu vizuri sana tangu wakati ule ukijaribu kufurukuta kwenye filamu. Shilole ni tofauti kidogo. Wewe...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QdRHhKxeimUZcp5Z*21CoF4Xn7p2gyAVtRyz4X4hUexITG8Zar*YXUq0dkAnnXeuN8oNhVjT5FP6qlk8S79Mv9*/snura.jpg?width=650)
SNURA TUHUMA NZITO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3MA4qXiMHr0demDOJ5C62bkNPC4zKEvmXN32p4upbq7LPzqKYjMbRvgcEHSiZsR*W5ygB9Qf5ZfiAU7peT-iGZM/WastaraJumapics.jpg?width=650)
BARUA NZITO: WASTARA OMBA RADHIâ€, ‬BADILIKAâ€!‬
10 years ago
Vijimambo29 Apr
BARUA NZITO: WASTARA Omba Radhi na Ubadilike..
Wastara JumaKWAKO mwanamke unayejua kuuvaa vyema uhusika katika sinema za Kibongo, Wastara Juma. Za siku nyingi? Uko poa mama! yake?Ukitaka kujua afya yangu mimi ni mzima wa afya, naendelea na mishemishe zangu za kila siku kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Nimekukumbuka hapa leo maana ni kitambo kidogo hatujaonana. Nikaona ni vizuri kukuandikia barua.Dhumuni la barua hii ni kwanza kutaka kukukumbusha juu ya heshima niliyokuwa nakupa. Nilikuwa nakuheshimu kama mama wa watoto wawili, mtu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/U8LSueg-IYo91VqBLgljousQkE7-Wu0ermcxofeuBwACNuCOSokqJFSszrM4uiVvPj0bG5DqqRS6cJLRFnRMjtZhbHk3W03X/150000080.jpg?width=650)
BARUA NZITO STARA THOMAS JITATHMINI UPYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JmmD6*QKY7HlFHl12AFhvemiBNb9WmIm9cCZ1lipxfDgBzxtXUsLPHfEQZA6DPxKX*IeNUo-a5F4jFumt2rAMK2/snura.jpg?width=650)
SNURA AMBWATUKIA SHILOLE
11 years ago
GPLBARUA NZITO: DADA MAINDA, HEBU ONA AIBU BASI!!
9 years ago
Bongo517 Nov
Snura: Shilole ni mtu wa kubwatuka hovyo
![SNURAAAA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/05/SNURAAAA-300x194.jpg)
Baada ya Shilole kumkejeli Snura kwa kudai sio hadhi yake na asifananishwe naye, Snura amejibu mapigo
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Snura alisema ameshamzoea Shilole ni mtu wa kubwatuka.
“Ni yeye ndio amezungumza sio mashabiki. Kama wangeongea mashabiki kweli lingenigusa na kunifanya nijiangalie tena kwa mara mbili au mara tatu lakini yeye kama yeye ndio kaongea,” alisema.
“Lakini yeye ni mtu wa kubwatuka hovyo kwenye interview na kuponda. Ile ni dalili kwamba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo4nFG*hhuGrzWuw5wQZsNCmv7BBRF8c7PXH9R9D62WH-1uBRPpYwrBtaE8Yuw1UEpWuklwTjpKsaqBqtKwDU0p5/150000080.jpg)
BARUA NZITO WEMA KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KWA†‬ZARIâ€!‬
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s72-c/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Kuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas
![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s640/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...