BARUA NZITO: WASTARA Omba Radhi na Ubadilike..
Wastara JumaKWAKO mwanamke unayejua kuuvaa vyema uhusika katika sinema za Kibongo, Wastara Juma. Za siku nyingi? Uko poa mama! yake?Ukitaka kujua afya yangu mimi ni mzima wa afya, naendelea na mishemishe zangu za kila siku kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Nimekukumbuka hapa leo maana ni kitambo kidogo hatujaonana. Nikaona ni vizuri kukuandikia barua.Dhumuni la barua hii ni kwanza kutaka kukukumbusha juu ya heshima niliyokuwa nakupa. Nilikuwa nakuheshimu kama mama wa watoto wawili, mtu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBARUA NZITO: WASTARA OMBA RADHIâ€, ‬BADILIKAâ€!‬
10 years ago
CloudsFM18 Dec
TATIZO LA OMBA OMBA NA WAMACHINGA MAENEO YASIYORUHUSIWA DAR KUTAFUTIWA DAWA
Aron Msigwa –MAELEZO.
Jiji la Dar es salaam linaangalia upya utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika mikoa wanayotoka kutokuzaa matunda na kuwa endelevu kufuatia wengi wao kurudi katika maeneo ya awali kila wanapoondolewa.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Mecki Sadiki wakati akifungua kikao cha...
10 years ago
MichuziTATIZO LA WAMACHINGA NA OMBA OMBA MAENEO YASIYORUHUSIWA DAR KUTAFUTIWA DAWA
Na Aron Msigwa –MAELEZO.
Jiji la Dar es salaam linaangalia upya utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika...
10 years ago
GPLBARUA NZITO STARA THOMAS JITATHMINI UPYA
11 years ago
GPLBARUA NZITO: UKIMSHANGAA SNURA UTAKUTANA NA SHILOLE!
11 years ago
GPLBARUA NZITO: DADA MAINDA, HEBU ONA AIBU BASI!!
10 years ago
GPLBARUA NZITO WEMA KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KWA†‬ZARIâ€!‬
10 years ago
VijimamboKuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas
Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...
11 years ago
GPLOYA…UKITAKA KUJUA KAMA UNA MBIO, OMBA UFUMANIWE!