Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARUA NZITO: DADA MAINDA, HEBU ONA AIBU BASI!!

Staa wa Bongo Muvi, Ruth Suka ‘Mainda’. KWAKO, Ruth Suka ‘Mainda’, zamani uliitwa Mwanaidi kabla ya kungia kwenye ‘njia hii’. Ni imani yangu unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku. Kwanza nakupa pole kwa habari iliyotoka katika gazeti damu moja na hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita (achana na la juzi).… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

GPL

ONA AIBU MUMEO KUTUNZWA NA NYUMBA NDOGO

Najua nikisema sana nitaonekana kuwa nina mdomo wakati kila kiumbe hapa duniani kina mdomo, lakini kwa vile kuwapasha ndiyo ‘hobi’ yangu acha niwachane ‘live’ simuogopi mtu hasa wewe mwenye hila ya kwapa kunuka bila kidonda. Mambo mengine unaweza kuona kama ni kichekesho, kwa vile mimi nyani mzee niliyeishi muda mrefu na kukutana na shuruba za porini, siwezi kuliacha hivi hivi likapita kwani aibu hii...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, ONA AIBU KUMLISHA MWENZIO KWENYE CHOMBO KICHAFU

Haya tena kama ilivyo ada yetu tumekutana kwenye kona yangu, ukifika wakati huu mzungumzaji mkubwa nakuwa peke yangu, wengine wote mnabaki kimya kunisikiliza. Najua mmekaa mkao wa kula, leo nakuona mpanaa kama gauni la Jamatini. Ndiyo mimi kiroho kukudunda kila ifikapo Jumatano, wasiwasi wako leo utasemwa wewe. Sipo kwa ajili ya kukurusha roho mwa kwetu bali kukurudisha katika mstari usionekane kioja mbele za watu. Lakini...

 

11 years ago

GPL

CHOKI, ASHA BARAKA, HEBU TULIENI, SOMENI HII BARUA!

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki. KWENU,
Ali Choki na Asha Baraka. Kwanza poleni sana kwa majukumu yenu ya kila siku. Najua mchakamchaka mnaokutana nao kila siku. Mnapambana kuhakikisha maisha yanasonga kama kawaida, ingawa changamoto ni za kawaida.…

 

11 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: MAMA WEMA HEBU KUWA MZAZI BASI!

NIANZE kwa kumuomba radhi sana mama mzazi wa msanii mwenye jina kubwa Bongo, Wema Abraham Sepetu, aitwaye Mariam Sepetu. Ninafanya hivi kwa sababu ya jadi yetu waafrika, kwamba huwa siyo jambo la heshima, mwenye umri mdogo, kumweleza maneno ya ‘kuudhi’ mtu aliyemzidi umri. Wema Abraham Sepetu. Lakini inabidi nimweleze kidogo maneno ambayo ingawa siyo mabaya, nina uhakika hata hivyo, hatayapenda kwa sababu nyingi,...

 

10 years ago

GPL

MAINDA NIMEFANYA SANA ANASA, SASA BASI!

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kipindi cha nyuma alipotangaza kuokoka alikuwa ni kama anamtania Mungu ila sasa ameokoka kikwelikweli. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema awali alipofunguka kuwa ameokoka, hakuwa siriasi kwani alikuwa akiendeleza anasa za hapa na pale lakini sasa yeye na Yesu, Yesu na yeye. Staa wa filamu Bongo Ruth...

 

11 years ago

GPL

BARUA NZITO: UKIMSHANGAA SNURA UTAKUTANA NA SHILOLE!

Snura Mushi. KWENU,
Wasanii chipukizi katika muziki, Snura Mushi na Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Hongereni pia kwa kukubalika kwenu katika upande wa pili wa sanaa ya muziki mkitokea uigizaji. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Ni muda mrefu sana nafahamiana na Snura. Nakufahamu vizuri sana tangu wakati ule ukijaribu kufurukuta kwenye filamu. Shilole ni tofauti kidogo. Wewe...

 

10 years ago

Vijimambo

BARUA NZITO: WASTARA Omba Radhi na Ubadilike..


Wastara JumaKWAKO mwanamke unayejua kuuvaa vyema uhusika katika sinema za Kibongo, Wastara Juma. Za siku nyingi? Uko poa mama! yake?Ukitaka kujua afya yangu mimi ni mzima wa afya, naendelea na mishemishe zangu za kila siku kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Nimekukumbuka hapa leo maana ni kitambo kidogo hatujaonana. Nikaona ni vizuri kukuandikia barua.Dhumuni la barua hii ni kwanza kutaka kukukumbusha juu ya heshima niliyokuwa nakupa. Nilikuwa nakuheshimu kama mama wa watoto wawili, mtu...

 

10 years ago

GPL

BARUA NZITO: WASTARA OMBA RADHI‭, ‬BADILIKA‭!‬

Wastara Juma KWAKO mwanamke unayejua kuuvaa vyema uhusika katika sinema za Kibongo, Wastara Juma. Za siku nyingi? Uko poa mama!&ke? Ukitaka kujua afya yangu mimi ni mzima wa afya, naendelea na mishemishe zangu za kila siku kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Nimekukumbuka hapa leo maana ni kitambo kidogo hatujaonana. Nikaona ni vizuri kukuandikia barua. Dhumuni la barua hii ni kwanza kutaka kukukumbusha juu ya heshima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani