Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: MAMA WEMA HEBU KUWA MZAZI BASI!

NIANZE kwa kumuomba radhi sana mama mzazi wa msanii mwenye jina kubwa Bongo, Wema Abraham Sepetu, aitwaye Mariam Sepetu. Ninafanya hivi kwa sababu ya jadi yetu waafrika, kwamba huwa siyo jambo la heshima, mwenye umri mdogo, kumweleza maneno ya ‘kuudhi’ mtu aliyemzidi umri. Wema Abraham Sepetu. Lakini inabidi nimweleze kidogo maneno ambayo ingawa siyo mabaya, nina uhakika hata hivyo, hatayapenda kwa sababu nyingi,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: TOP IN DAR INAKUWAJE TENA MZAZI?

KHALEED Mohamed, ni msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye uwezo usiotia shaka, kama utahitaji kujua kuhusu anachofanya. Na kama utasema utaje orodha ya wakongwe ambao bado wanatikisa katika ulimwengu wa Bongo Fleva ambao umetekwa na vijana, huwezi kumkosa katika watu wako Kumi Bora. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Top In Dar au kifupi TID. Top In Dar au kifupi TID ndilo jina lake maarufu la kisaniii, ingawa pia anafahamika...

 

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: ASHA BARAKA, CHOKI HIVI MNAJUA MNA DENI KUBWA?

Asha na Choki wakishow love ndani ya studio za Global TV Online baada ya upatanisho. NINAWAFAHAMU vizuri sana hawa watu wawili, dada Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mdogo wake, Ally Choki mwenye majina mengi ya kisanii, lakini mimi nikilipenda zaidi la Mzee wa Kizigo, kwa vile kwangu lina kumbukumbu ya mambo mengi. Hakuna utata kuwa Asha Baraka ni mmoja wa wanawake wapambanaji katika zama za sasa ambao taifa linaweza...

 

11 years ago

Bongo Movies

Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi

Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.

Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.

Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kama iko hata chembe ya mabadiliko, chembe hiyo itakuwa Ukawa

KICHWA cha makala ya wiki hii nimekiteua kwa makusudi kabisa kwa sababu kadhaa.

Jenerali Ulimwengu

 

11 years ago

GPL

BARUA NZITO: DADA MAINDA, HEBU ONA AIBU BASI!!

Staa wa Bongo Muvi, Ruth Suka ‘Mainda’. KWAKO, Ruth Suka ‘Mainda’, zamani uliitwa Mwanaidi kabla ya kungia kwenye ‘njia hii’. Ni imani yangu unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku. Kwanza nakupa pole kwa habari iliyotoka katika gazeti damu moja na hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita (achana na la juzi).… ...

 

11 years ago

GPL

KAJALA,WEMA HEBU NISIKILIZENI KIDOGO!

Mastaa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja.
KWENU,Mastaa wa filamu Bongo, Kajala Masanja na Wema Sepetu. Poleni kwa tifu linaloendelea kati yenu. Hongereni kwa kazi za kila siku za kujipatia kipato. Tuweke mambo yote pembeni, mimi kama kaka yenu, hebu tuzungumze kirafiki kidogo leo. Nimefuatilia kwa karibu ugomvi unaoendelea kati yenu, moyoni imeniuma na nimeona naweza kuwashauri mawili matatu, nanyi mkiona...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wewe ni Shabiki wa Wema Sepetu? Hebu Pitia Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies. Wema Sepetu ambaye anatajwa kama ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa mtandaoni kwa hapa Bongo, ni moja kati ya watu wanaowania tuzo kwenye TUZO ZA WATU 2015  katika kipengele cha Muigizaji wa kike anaependwa na watu.

Hii ni nafasi kwa wewe unaemkubali na kumfagilia Wema kuonyesha kuwa mpo wengi kwa kumpigia kura za kutosha kumuwezesha kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.

Jinsi ya kumpigia kumpigia kula, Tuma neno TUZO kwenda15678 utapokea uujumbe unaoainisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani