Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wewe ni Shabiki wa Wema Sepetu? Hebu Pitia Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies. Wema Sepetu ambaye anatajwa kama ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa mtandaoni kwa hapa Bongo, ni moja kati ya watu wanaowania tuzo kwenye TUZO ZA WATU 2015  katika kipengele cha Muigizaji wa kike anaependwa na watu.

Hii ni nafasi kwa wewe unaemkubali na kumfagilia Wema kuonyesha kuwa mpo wengi kwa kumpigia kura za kutosha kumuwezesha kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.

Jinsi ya kumpigia kumpigia kula, Tuma neno TUZO kwenda15678 utapokea uujumbe unaoainisha...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wewe ni Shabiki wa Riyama? Hebu Pitia Hapa

Huyu ni moja kati ya waigizaji wa kike wanaokubalika zaidi kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zao, ni moja kati ya mastaa kutoka Bongo Movies ambao hawana skedo za AJABU AJABU,kiufupi  ni moja kati ya wanaojielewa na kujiheshimu , hii inamfanya kuheshimika mbele ya jamii,huyu sio mwingine bali ni Riyama Ally.

Kwakua unamkubali na unapenda kazi zake mpigie kura kama mwigizaji anayependwa na filamu yake inayopendwa...Tuma neno TUZO kwenda 15678 utapokea ujumbe unaoainisha vipengele vyote vya tuzo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kama Wewe ni Shabiki wa Kitale, Ana Jambo Hapa

Kuna watu bwana akili zao sijui hata zipoje.?? eti mtu ananitumia sms anadai kwamba kutokana na unavyoigiza kama mtumiaji wa madawa ya kilevya ( TEJA ) Acha kwa sababu watoto wetu mtaani wanakuiga matokeo yake wanakuwa mateja kweli.....Ebu jamani nisaidieni watu kama hawa wanaonitumia sms za namna hii mimi niwajibu vipi???

-Kitale

Chanzo: Mkudesimbaoriginal “Kitale Raisi wa Mateja”via Instagram

 

10 years ago

Bongo Movies

Ombi Hili la Wema Sepetu, Likufikiae na Wewe….Tubadilike

“Watanzania wenzangu, naombeni leo tujiulize: mitandao ya kijamii ina kazi gani kama sio kuelimisha, kuendeleza na kunufaisha jamii?

Huu ni mwaka 2015. Kama kupendana bure, tushapendana vya kutosha. Kama kutukanana bila sababu, tushatukanana vya kutosha. Kama kushabikia vitu ambavyo havina msaada wowote kwa sisi na familia zetu, tushashabikia vya kutosha.

Imefika hatua ya kunyanyuana, sio kushushana. Kuelimishana, sio kusemana. Kupeana moyo, sio kukatishana tamaa.

Imefika hatua ya kutegemea...

 

10 years ago

Vijimambo

Sikiliza hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

Jitiririshe na hii hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu kathibitisha anagombea Ubunge !! kayazungumza hapa na ya boyfriend wa Linah.

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida pamoja na ishu ya kutoka na boyfriend wa msanii Linah.

Akizungumza na Diva Loveness wa Ala za Roho alisema..”Sasa hivi niko singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika kuamasisha vijana wajitokeze...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Hii ndiyo Mistari ya Nuh Mziwanda Alipokuwa Anamtongoza Wema Sepetu, Utavunja Mbavu

Kwa jinsi teknolojia ilivyokua watu wanapaswa kuwa makini sana kwa simu wanazopiga na maneno wanayoongea

Nuh Mziwanda amejikuta akiumbuka vibaya baada ya Wema Sepetu kuvujisha sauti anayosikika akimtongoza mrembo huyo. Mazungumzo hayo yanachekesha sana hasa kutokana na mistari anayompa Miss Tanzania huyo wa zamani. Haya ni maongezi yaliyofanyika mwezi June (siku moja kabla ya KTMA 2015). Tunafahamu wapo wasioweza kusikiliza clip yote hivyo tumekuandikia mazungumzo hayo.

Nuh Mziwanda: Kuna...

 

10 years ago

Vijimambo

CHEZEA USINGIZI WEWE PITIA HIZI PICHA MBILI NA JIPE JIBU MWENYEWE

Usijiulize alifikaje hapa juu jibu ni usingizi ndiyo mpango mzima ukifika tu basi aijalishi upo wapi.Huyu nae akikua sijuhi atakuwa fundi viatu au?, usingizi kweli siyo mchezo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani