Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sikiliza hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

Jitiririshe na hii hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

10 years ago

Bongo Movies

Wimbo wa “Ntampata Wapi”, Diamond Hakuniimbia Mimi- Wema Sepetu

Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ametoboa kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu  wengi kudhani kuwa  wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa  wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.

 “Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wewe ni Shabiki wa Wema Sepetu? Hebu Pitia Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies. Wema Sepetu ambaye anatajwa kama ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa mtandaoni kwa hapa Bongo, ni moja kati ya watu wanaowania tuzo kwenye TUZO ZA WATU 2015  katika kipengele cha Muigizaji wa kike anaependwa na watu.

Hii ni nafasi kwa wewe unaemkubali na kumfagilia Wema kuonyesha kuwa mpo wengi kwa kumpigia kura za kutosha kumuwezesha kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.

Jinsi ya kumpigia kumpigia kula, Tuma neno TUZO kwenda15678 utapokea uujumbe unaoainisha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu kathibitisha anagombea Ubunge !! kayazungumza hapa na ya boyfriend wa Linah.

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida pamoja na ishu ya kutoka na boyfriend wa msanii Linah.

Akizungumza na Diva Loveness wa Ala za Roho alisema..”Sasa hivi niko singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika kuamasisha vijana wajitokeze...

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Diamond aonjesha kipande cha wimbo wake ambao haujatoka ‘Nitampata wapi’

Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi ya kutoka kama official singles. Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake. “wakati Mwingine natamanigi hata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani