Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Audio: Diamond aonjesha kipande cha wimbo wake ambao haujatoka ‘Nitampata wapi’

Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi ya kutoka kama official singles. Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake. “wakati Mwingine natamanigi hata […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo

Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani. “Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Barnaba aonjesha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ utakaotoka Nov.5

Leo Oct.30 ndio siku ambayo mashabiki wa Afrika Mashariki wangesikiliza kwa mara ya kwanza collabo ya Barnaba Classic na Jose Chameleone – ‘Nakutunza’, lakini imesongezwa mbele hadi Novemba 5. Kutokana na kusogeza mbele tarehe ya kutoa wimbo huo, Barnaba ameamua kuwaonjesha sehemu ndogo ya wimbo huo kupitia akaunti yake ya Instagram. Alianzia kuandika ujumbe; “Heloooo […]

 

10 years ago

Bongo5

P-Square ni mashabiki wa ‘Nitampata Wapi’ na Mdogo Mdogo za Diamond

Unataka kuyakuna masikio ya P-Square? Usiimbe kwa kuchanganya na ladha ya Nigeria, imba Bongo Flava halisi! Hilo ndio somo ambalo Diamond amelipata wiki hii kutoka kwa Peter na Paul Okoye. Msanii wa kundi la P-Square, Peter Okoye akibadilisha mawazo na Diamond Platnumz Diamond pamoja na wasanii hao nguli wa Afrika na wengine wakiwemo Flavour na […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS

Iyanya ameonjesha kipande cha video mpya ya wimbo wake ‘Mr Oreo’ aliyoshoot nchini Marekani hivi karibuni. Video hiyo anatarajia kuitoa rasmi leo.Tazama kionjo Tazama behind the scenes

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Bongo Movies

Wimbo wa “Ntampata Wapi”, Diamond Hakuniimbia Mimi- Wema Sepetu

Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ametoboa kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu  wengi kudhani kuwa  wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa  wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.

 “Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Sikiliza hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

Jitiririshe na hii hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani