Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo

Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani. “Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS

Iyanya ameonjesha kipande cha video mpya ya wimbo wake ‘Mr Oreo’ aliyoshoot nchini Marekani hivi karibuni. Video hiyo anatarajia kuitoa rasmi leo.Tazama kionjo Tazama behind the scenes

 

11 years ago

Bongo5

Behind The Scenes : Tazama utengenezaji wa video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’ (Video)

Weekend iliyopita rapper wa Young Money, Nicki Minaj alishoot video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ itakayopatikana kwenye album yake mpya ‘The Pink Print’. Kabla video kutoka Nicki amewaonjesha mashabiki kuona kilichojiri wakati wa utengenezaji wa video hiyo (behind the scenes ).

 

11 years ago

GPL

UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA NICKI MINAJ ‘ANACONDA’

Rapper Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' anaelekea kukamilisha video yake mpya ya Anaconda na ametoa video ya sekunde 15 ikionyesha Minaj akiwa kwenye pozi tofauti za kimahaba katika video yake ya Anaconda.…

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Diamond aonjesha kipande cha wimbo wake ambao haujatoka ‘Nitampata wapi’

Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi ya kutoka kama official singles. Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake. “wakati Mwingine natamanigi hata […]

 

10 years ago

Bongo5

Nicki Minaj avunja rekodi ya VEVO na video ya ‘Anaconda’, views 19.6M ndani ya saa 24

Video mpya ya Nicki Minaj iliyozungumziwa zaidi wiki hii ‘Anaconda’, imeweka rekodi mpya ya VEVO na kuwa ndio video iliyopata hits nyingi zaidi ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa. VEVO imethibitisha kuwa video ya ‘Anaconda’ imepata views milioni 19.6 ndani ya saa 24 toka ilipowekwa mtandaoni Jumanne (August 19. MY #ANACONDA DON'T WANT NONE UNLESS […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Wizkid ashare kipande cha video yake mpya ‘In My Bed’ anayotarajia kuitoa leo (Sept 22)

Baada ya Wizkid kuachia album yake mpya na ya pili, ‘AYO’ ambayo imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye mauzo ya mtandaoni kupitia iTunes ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa September 17, star huyo wa Nigeria ameahidi kuachia video mpya leo (September 22) Kupitia Instagram ameshare kipande cha video hiyo ya wimbo unaoitwa ‘In My Bed’. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani