Nicki Minaj avunja rekodi ya VEVO na video ya ‘Anaconda’, views 19.6M ndani ya saa 24
Video mpya ya Nicki Minaj iliyozungumziwa zaidi wiki hii ‘Anaconda’, imeweka rekodi mpya ya VEVO na kuwa ndio video iliyopata hits nyingi zaidi ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa. VEVO imethibitisha kuwa video ya ‘Anaconda’ imepata views milioni 19.6 ndani ya saa 24 toka ilipowekwa mtandaoni Jumanne (August 19. MY #ANACONDA DON'T WANT NONE UNLESS […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Dec
Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard
Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita. Nicki amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya […]
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jyC2VFWXzOSHTpN71E7GlEauqJz1Sc09DGFLdZfrG1A24Ux017iceOjzjOr3rUID7*fh3YYEgZj8dNCL4n-BP9g/NickiMinajAnacondavideo3.jpg?width=600)
UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA NICKI MINAJ ‘ANACONDA’
Rapper Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' anaelekea kukamilisha video yake mpya ya Anaconda na ametoa video ya sekunde 15 ikionyesha Minaj akiwa kwenye pozi tofauti za kimahaba katika video yake ya Anaconda.…
11 years ago
Bongo508 Aug
Behind The Scenes : Tazama utengenezaji wa video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’ (Video)
Weekend iliyopita rapper wa Young Money, Nicki Minaj alishoot video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ itakayopatikana kwenye album yake mpya ‘The Pink Print’. Kabla video kutoka Nicki amewaonjesha mashabiki kuona kilichojiri wakati wa utengenezaji wa video hiyo (behind the scenes ).
11 years ago
Bongo504 Aug
Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo
Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani. “Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdNRpk*lfWr-UIqJzJv1wR1mCeAuz0r6Uy8aw9U4klFdX0n9e6YkDt8-IVp7RloIm5dwhzfDkFbEdLYFGfqZX7g2/nicki.jpg?width=650)
NICKI MINAJ AACHIA ANACONDA
RAPPA, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Marekani aliye chini ya lebo ya Young Money Entertainment, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' leo ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Anaconda’  baada ya kuufanyia promo ya kutosha katika mitandao mbalimbali.
10 years ago
Bongo521 Nov
Video mpya ya Diamond ‘Ntampata Wapi’ imevuka views laki moja Youtube ndani ya saa 24
Video mpya ya Diamond platnumz ‘Ntampata wapi’ imekuwa na mapokeo mazuri kiasi cha kuwavutia watu wengi kutaka kuitazama kila wanaposikia kuwa imetoka. Video hiyo iliyoanza kuchezwa na vitu vikubwa vya nje kikiwemo MTV Base juzi kabla haijasambazwa kwenye vituo vya hapa nyumbani jana, mpaka sasa imefanikiwa kupata views 116,967 kwenye mtandao wa Youtube, ikiwa ni […]
9 years ago
Bongo526 Oct
Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza
Adele, Mwimbaji kutoka Uingereza amerudi kwa kishindo baada ya kuweka rekodi mpya ya Youtube kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’ uliotoka Ijumaa Oct.23. Ndani ya saa 24 toka video ya wimbo huo iwekwe kwenye mtandao wa Youtube imetazamwa mara milioni 25, na kuvunja rekodi iliyowekwa na Taylor Swift na Kendrick Lamar ambao collabo yao ‘Bad Blood’ […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania