NICKI MINAJ AACHIA ANACONDA
![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdNRpk*lfWr-UIqJzJv1wR1mCeAuz0r6Uy8aw9U4klFdX0n9e6YkDt8-IVp7RloIm5dwhzfDkFbEdLYFGfqZX7g2/nicki.jpg?width=650)
RAPPA, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Marekani aliye chini ya lebo ya Young Money Entertainment, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' leo ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Anaconda’  baada ya kuufanyia promo ya kutosha katika mitandao mbalimbali.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jyC2VFWXzOSHTpN71E7GlEauqJz1Sc09DGFLdZfrG1A24Ux017iceOjzjOr3rUID7*fh3YYEgZj8dNCL4n-BP9g/NickiMinajAnacondavideo3.jpg?width=600)
UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA NICKI MINAJ ‘ANACONDA’
10 years ago
Bongo522 Aug
Nicki Minaj avunja rekodi ya VEVO na video ya ‘Anaconda’, views 19.6M ndani ya saa 24
11 years ago
Bongo508 Aug
Behind The Scenes : Tazama utengenezaji wa video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’ (Video)
11 years ago
Bongo504 Aug
Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo
11 years ago
Bongo509 Jul
New Music: Usher aachia wimbo mpya aliomshirikisha Nicki Minaj na kutengenezwa na Pharrell ‘She Came to Give It to You’
9 years ago
Mtanzania21 Nov
SAMUELS AMCHOKOZA NICKI MINAJ
NEW YORK, MAREKANI
MPENZI wa zamani wa Nick Minaj, Safaree Samuels, amemchokoza mrembo huyo kwa kudai kwamba amemsaidia
sana kuandika nyimbo kali ambazo zimempa jina.
Samuels amesisitiza kwamba bila yeye Nick asingefika alipo, kwani mafanikio ya msanii huyo yametokana na kumwandikia nyimbo kali kama ‘Only’ambayo alimshirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne, ‘Flawless’ ambaye
alimshirikisha Beyonce na ‘Feeling Myself’ aliomshirikisha Bey.
“Kila wakati nilikuwa nakaa naye na kumwandikia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyALDhy*h4gDuNGzM55AYLFKjDFvf7rPSP-hUlYyfgVQDPTSNQ5yLWLLbCsfjJHuKooWJd7pgd01laBhhrUpa39Tr/NickiMinajpareddownherusuallyovertopmakeupreadrainbow.jpg?width=650)
NICKI MINAJ ATANGAZA NI MJAMZITO