Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NICKI MINAJ ATANGAZA NI MJAMZITO

Rapa wa kike aliyejizolea umaarufu kutoka lebo ya Cash Money, Nicki Minaj. Burgettstown, Pennsylvania RAPA wa kike aliyejizolea umaarufu kutoka lebo ya Cash Money, Nicki Minaj hivi karibuni ametangaza kuwa ni mjamzito. Nicki (32) aliweka wazi alipokuwa jukwaani katika tamasha kubwa lililojumuisha ziara yake ijulikanayo kama Pinkprint huko Pennsylvania ambapo alipanda na mchumba wake, Meek Mill na kusema;
“Piga kelele...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

SAMUELS AMCHOKOZA NICKI MINAJ

Nicki MinajNEW YORK, MAREKANI

MPENZI wa zamani wa Nick Minaj, Safaree Samuels, amemchokoza mrembo huyo kwa kudai kwamba amemsaidia
sana kuandika nyimbo kali ambazo zimempa jina.

Samuels amesisitiza kwamba bila yeye Nick asingefika alipo, kwani mafanikio ya msanii huyo yametokana na kumwandikia nyimbo kali kama ‘Only’ambayo alimshirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne, ‘Flawless’ ambaye
alimshirikisha Beyonce na ‘Feeling Myself’ aliomshirikisha Bey.

“Kila wakati nilikuwa nakaa naye na kumwandikia...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nicki Minaj — All Things Go

Wimbo mpya wa rapper kutoka Young Money Nicki Minaj wimbu huu utakuwa unapatika pia katika album yake mpya “The Pink Print” ambayo inatoka mwezi huu wimbo unaitwa “All Things Go”

 

10 years ago

GPL

NICKI MINAJ AACHIA ANACONDA

RAPPA, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Marekani aliye chini ya lebo ya Young Money Entertainment, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' leo ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Anaconda’  baada ya kuufanyia promo ya kutosha katika mitandao mbalimbali.

 

10 years ago

CloudsFM

NICKI MINAJ ‘AMWAGANA’ NA MPENZI WAKE

Mwanamuziki asiyekwisha vituko wa nchini Marekani,Nicki Minaj inadaiwa ameachana na mpenzi wake safaree samuel baada ya kutokea ugomvi mkumbwa kati yao hadi kupekelekea gari ya mchumba wake huyo aina ya mercedez benz kuvunjika kioo.Habari zinasema kuwa kwenye ugomvi huo Minaj alichukua fimbo na kuvunja kioo cha gari ya mpenzi wake ambayo aliinunua yeye mwenyewe nicki minaj wakati wa mapenzi motomoto.

Kana kwamba haitoshi Nicki alichukua nguo za mpenzi wake na kuzitupa kwenye takataka,tukio...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Nicki Minaj — The Night Is Still Young

Mashabiki wengi wa Nicki Minaj bado hawajabahatika kuiona video yake mpya ‘The Night Is Still Young’ ambayo aliitambulisha rasmi weekend iliyopita, kwasababu ilitolewa exclusive kupitia Tidal. Pata nafasi ya kuiona video hiyo kupitia hapa.

 

10 years ago

GPL

NICKI MINAJ MALKIA WA HIP HOP

Malkia wa hip hop, Nicki Minaj. Na Hans Mloli
UNAPOTAJA majina ya wasanii wakali wa Hip Hop kimataifa jina la Nicki Minaj lazima litakuwemo kwenye 5 bora, ubora wa kazi zake pamoja na vituko vyake vimemfanya awe bora kila kukicha. Weka mbali vituko na mavazi yake ya kimitego, Nick Minaji ambaye jina lake halisi ni Onika Maraj ameonyesha uwezo mkubwa akiwa chini ya usimamizi wa Lebo ya Young Money Entertainment na ndiye malkia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani