NICKI MINAJ MALKIA WA HIP HOP
![](http://api.ning.com:80/files/2Za8s5sYvAKW9utszV2rXbgMPI2QSo41EA1seHcAd6wE19-QMdz7S3kYlwkLgvQfUgs0LpDhJmTkR7bxmwnIe-idGmNsc8mG/nickiminaj.jpg?width=650)
Malkia wa hip hop, Nicki Minaj. Na Hans Mloli UNAPOTAJA majina ya wasanii wakali wa Hip Hop kimataifa jina la Nicki Minaj lazima litakuwemo kwenye 5 bora, ubora wa kazi zake pamoja na vituko vyake vimemfanya awe bora kila kukicha. Weka mbali vituko na mavazi yake ya kimitego, Nick Minaji ambaye jina lake halisi ni Onika Maraj ameonyesha uwezo mkubwa akiwa chini ya usimamizi wa Lebo ya Young Money Entertainment na ndiye malkia...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-QlkfBN0BMVg/VfpRVYi2U5I/AAAAAAAD7rs/sPyS4TmvR2U/s72-c/Bongo-Flava-Logo%2B%25283%2529.jpg)
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP
![](http://3.bp.blogspot.com/-QlkfBN0BMVg/VfpRVYi2U5I/AAAAAAAD7rs/sPyS4TmvR2U/s400/Bongo-Flava-Logo%2B%25283%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0B_Dy7O2VNE/VfpRVpp2OSI/AAAAAAAD7rw/II801JgrByg/s400/Bongo-Flava-Logo%2B%25282%2529.jpg)
9 years ago
AllAfrica.Com29 Oct
Hip Hop Star Now MP in Tanzania
The Star
AllAfrica.com
Tanzanian Hip Hop singer Joseph Haule popularly known as Professor Jay has won a parliamentary seat in the Tanzanian elections. The star clinched the Mikumi Constituency seat on an Opposition Chadema (Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo) ticket.
Professor Jay wins parliamentary seatThe Star
all 3
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BFNK9EkP88E/UxSEP9xwvMI/AAAAAAAFQzo/_3AkVYq_c98/s72-c/Haki+Cover.jpg)
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Chemical: Hip hop si ya wanaume tu
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Claudia Lubao ‘Chemical’, amewataka wasanii wa kike wafanye vitu vinavyoonekana vigumu kufanywa na wanawake ili wadhihirishie umma sera ya haki sawa kwa wote.
Chemical alisema mabinti wengi wanahofu ya kufanya aina hiyo ya muziki kwa sababu inaeleweka kuwa muziki ni kwa ajili ya wanaume pekee kitu ambacho si sahihi.
“Kikubwa ni kuthubutu na kufanya kile tunachokipenda bila kujali kitapokelewa kwa mtazamo gani kama mimi nafurahi kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Vichwa vinavyoibeba Hip Hop
MUZIKI wa Tanzania hususan wa kizazi kipya ‘Bongofleva’ unazidi kupasua anga kila kukicha kutokana na sababu kadha wa kadha, hivyo kukubalika kwa wengi. Awali wakati vijana wa miaka 90 walipoanza...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Octopizzo nyota wa Hip Hop Kenya
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e5ojRmBjrO9oBjVBZDwabRE5pOSqeT9x2zweOSFuokEY0OZCdKLsmCQhq1TFXPZYBG8bMZwd1Ih*Np*EhNjo*8-9skYuoBwl/sark.jpg?width=650)
SARKODIE MFALME WA HIP HOP AFRIKA
10 years ago
Bongo522 Jan
Iggy Azalea: Nimeibadilisha Hip Hop