Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Katika Swahili Hip Hop na Bongo Flava hii leo

Jina lake ni Paul Mbenna​. Wengi katika ulimwengu wa Bongo Flava wanamfahamu kama Mr Paul.
Alitamba na nyimbo nyingi kama Nakuzimia, Zuwena, Kuoana, na hata zile alizojazia kiitikio kama Kighetogheto na nyinginezo
Kwa sasa anaishi na kufanya kazi nchini Australia.
Panapo majaaliwa tutaungana naye kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA saa nne kamili kwa saa za Marekani Mashariki (10:00ET)
Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

 

9 years ago

Vijimambo

KIPINDI KIPYA CHA RADIO CHA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa kuja na kipindi kipya cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki mtayarishaji wa kipindi na mtangazaji ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo gani yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao, kila siku ya Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio unweza kutupata kupitia...

 

10 years ago

GPL

Hip Hop kuzaliwa upya Dar Live

Niki wa Pili Mwandishi Wetu, Dar es Salaam NYOTA mbalimbali wa Muziki wa Hip Hop Bongo, leo Jumamosi wanatarajiwa kufanya shoo kali katika Tamasha la Rap ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. R.O.M.A. Akizungumza na Championi Jumamosi, mratibu wa tamasha hilo, Nickson George, aliwataja baadhi ya wasanii hao kuwa ni Niki wa Pili, R.O.M.A, Stamina, Young Killer, Godzillah, Adam Mchomvu,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Domokaya afunguka kuhusu tuzo za mziki kwa wasanii wa Hip hop Tanzania!

Mandojo. Na Mwandishi Wetu. MANDOJO na DOMOKAYA ni wasanii walioweza kutengeneza namna tofauti ya uwasilishwaji wa mziki wa TANZANIA (BONGO FLAVOUR) kwa matumizi ya ‘Guitor’ mbali na falsafa iliyopatikana katika kazi sambamba na ustadi ulioonekana kati yao hawa jamaa ambao walishawahi kufanya kazi mbalimbali zilizofanya vizuri ikiwemo ‘Nikupe’, ‘Wanoknok’ na ‘Dingi’.   Wakati huu watu hawa kila mmoja anaishi nyumbani kwake kutokana na namna mfumo wa maisha ya binadamu ulivyojengwa. Hasa...

 

10 years ago

Vijimambo

JITOKEZE 2015 & HIP HOP AND RAP STAR SEARCH (LIVE EDITION)

Joined by the Legendary Music Entertainment and Promotions company's Hip Hop & Rap Star search (Live Edition)
Guest Judges: DJ JD, DJ K.U And DJ One BPerformances by: Nash Emcee, Raf MC, Witness Kibonge and Motra the Future
DATE: 13/06/2015 (Saturday)VENUE: MICHUNGWANI PR.SCHOOL MIKOCHENITIME: 12:00 Noon - 8:00 Pm

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani