Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katika Swahili Hip Hop na Bongo Flava hii leo

Jina lake ni Paul Mbenna​. Wengi katika ulimwengu wa Bongo Flava wanamfahamu kama Mr Paul.
Alitamba na nyimbo nyingi kama Nakuzimia, Zuwena, Kuoana, na hata zile alizojazia kiitikio kama Kighetogheto na nyinginezo
Kwa sasa anaishi na kufanya kazi nchini Australia.
Panapo majaaliwa tutaungana naye kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA saa nne kamili kwa saa za Marekani Mashariki (10:00ET)
Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

 

11 years ago

Bongo5

Fid Q na P-Funk kuachia ‘Bongo Hip Hop’ Jumatano, August 13

Jumatano hii, August 13, Fareed Kubanda aka Fid Q atasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuwapa mashabiki wake zawadi kubwa. Fid na P-Funk Majani, wataachia kile kinachoonekana kama wimbo uitwao ‘Bongo Hip Hip. Hata hivyo hivi karibuni rapper huyo aliiambia Bongo5 kuwa anatarajia kuachia documentary itayoelezea historia ya hip hop ya Tanzania enye jina hilo […]

 

9 years ago

Vijimambo

KIPINDI KIPYA CHA RADIO CHA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa kuja na kipindi kipya cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki mtayarishaji wa kipindi na mtangazaji ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo gani yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao, kila siku ya Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio unweza kutupata kupitia...

 

10 years ago

CloudsFM

BANANA ZORO: YUPO KATIKA MAFUNZO YA KUFANYA MUZIKI WA HIP HOP

Msanii wa Bongo Fleva,Banana zoro baada ya kufanya miziki ya aina nyingi kuanzia Rnb, Zouk, Afro Pop, Rock na mengineyo kwa zaidi ya miaka 10 aliyotumikia kwenye muziki wa Bongo flava, sasa hivi ameingia darasani kufundishwa jinsi ya kurap na kufanya muziki wa Hiphop, na mwalimu wake ni Mwana fa.‘’Nimefanya miziki ya aina nyingi kwenye Bongo Fleva,na sasa nimeingia darasani kufanya hip hop na mwalimu wangu Mwana FA kwahiyo mashabiki wangu wasubirie tu,’’alisema Banana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani