Tanzania - Bongo Flava - Mr Ebbo - Mi Mmasai na hii hapa je unamkumbuka huyu?
![](http://img.youtube.com/vi/ZLtuxYaKko0/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/K6ZQKkkjmcI/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-D6gCNoOipmk/VhkOZRh3RkI/AAAAAAAAJys/wN71xGy5WD4/s72-c/image56.png)
Katika Swahili Hip Hop na Bongo Flava hii leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-D6gCNoOipmk/VhkOZRh3RkI/AAAAAAAAJys/wN71xGy5WD4/s640/image56.png)
Alitamba na nyimbo nyingi kama Nakuzimia, Zuwena, Kuoana, na hata zile alizojazia kiitikio kama Kighetogheto na nyinginezo
Kwa sasa anaishi na kufanya kazi nchini Australia.
Panapo majaaliwa tutaungana naye kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA saa nne kamili kwa saa za Marekani Mashariki (10:00ET)
Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YLaeso7tISCcuBkeQGt*Y2*DtjOk3sv19MI6KAVXNDzsOrxlf*T0OXswe7ExtPq3Uour58H5lI2QWCV4N1zu7GoIMngolRUO/imefichuka.jpg)
IMEFICHUKA ANAYEWAUZA MASTAA BONGO HUYU HAPA!
Stori:Â Waandishi Wetu
Imefichuka! Kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa za chini kwa chini kwamba baadhi ya mastaa wa kike Bongo, hasa wale wa filamu ‘Bongo Movies’ huuzwa kwa wanaume, mara nyingine kwa kujua au kutojua lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha hivyo kutoa ‘kibarua’ kwa Ijumaa kuingia mzigoni kisha kumuibua mmoja wa wahusika (kuwadi) anayerahisisha biashara hiyo haramu ya ngono. Jokate...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Bongo flava muziki wa Tanzania unavyokua
Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/sNfvKt2UIIo/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/haNKO9_xs84/default.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania