Hip Hop Is Alive by Kalapina Feat Q Chillah Official Music Video [Bongo HipHop]

Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP


10 years ago
Vijimambo
Katika Swahili Hip Hop na Bongo Flava hii leo

Alitamba na nyimbo nyingi kama Nakuzimia, Zuwena, Kuoana, na hata zile alizojazia kiitikio kama Kighetogheto na nyinginezo
Kwa sasa anaishi na kufanya kazi nchini Australia.
Panapo majaaliwa tutaungana naye kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA saa nne kamili kwa saa za Marekani Mashariki (10:00ET)
Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...
11 years ago
Bongo511 Aug
Fid Q na P-Funk kuachia ‘Bongo Hip Hop’ Jumatano, August 13
Jumatano hii, August 13, Fareed Kubanda aka Fid Q atasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuwapa mashabiki wake zawadi kubwa. Fid na P-Funk Majani, wataachia kile kinachoonekana kama wimbo uitwao ‘Bongo Hip Hip. Hata hivyo hivi karibuni rapper huyo aliiambia Bongo5 kuwa anatarajia kuachia documentary itayoelezea historia ya hip hop ya Tanzania enye jina hilo […]
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Bongo513 Aug
New Music: Fid Q f/ P-Funk — Bongo Hiphop (Radio Rip)
Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa ya Fareed Kubanda aka Fid Q, rapper huyo ameachia ngoma yake mpya ‘Bongo Hiphop’ akimshirikisha P-Funk. Usikilize kwa mara ya kwanza hapa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania