Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Fid Q f/ P-Funk — Bongo Hiphop (Radio Rip)

Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa ya Fareed Kubanda aka Fid Q, rapper huyo ameachia ngoma yake mpya ‘Bongo Hiphop’ akimshirikisha P-Funk. Usikilize kwa mara ya kwanza hapa.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

CloudsFM

FID Q AJIPANGA KUTOA DOCUMENTARY YA KUREKEBISHA HIPHOP YA BONGO.

STAA wa Hip Hop,Fid Q yupo katika maandalizi ya kuachia documentary aliyoipa jina la ‘Bongo Hiphop’ kuelezea ishu mbalimbali za Hiphop Bongo historia yake kuanzia ilipotokea mpaka wakati huu, lakini kabla ya documentary hiyo kutoka kwa msanii huyo kesho August 13 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake ataachia soundtrack ya documentary hiyo.

 

11 years ago

Bongo5

Fid Q na P-Funk kuachia ‘Bongo Hip Hop’ Jumatano, August 13

Jumatano hii, August 13, Fareed Kubanda aka Fid Q atasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuwapa mashabiki wake zawadi kubwa. Fid na P-Funk Majani, wataachia kile kinachoonekana kama wimbo uitwao ‘Bongo Hip Hip. Hata hivyo hivi karibuni rapper huyo aliiambia Bongo5 kuwa anatarajia kuachia documentary itayoelezea historia ya hip hop ya Tanzania enye jina hilo […]

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q awasharikisha Sauti Sol, ataja sababu za kutotoa ngoma nyingi na wasanii wa hiphop kutofanikiwa

Fid Q amewashirikisha Sauti Sol kwenye wimbo wake mpya. Fid Q, AY, Shaa na Sauti Sol wakiwa studio Akiongea jana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Citizen Radio ya Kenya, Fid amedai kuwa wimbo huo wameurekodi juzi usiku. “Nilikuja Nairobi kwaajili ya kurekodi na Sauti Sol, namshukuru Mungu tumefanya session last night na kiukweli wote […]

 

10 years ago

Bongo5

Music: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole na Shaa — Piga Chata

Wimbo maalum kwa vijana wa Tanzania; tushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Kura yetu ndio sauti na nguvu yetu. wimbo unaitwa “Piga Chata” Studio 41 Records, Wasanii walio shiriki nin Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole and Shaa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

10 years ago

Bongo5

Music: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole & Shaa – Pga Chata

Wimbo maalum kwa vijana wa Tanzania; tushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Kura yetu ndio sauti na nguvu yetu. wimbo unaitwa “Piga Chata” Studio 41 Records, Wasanii walio shiriki nin Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, and Shaa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani