Fid Q awasharikisha Sauti Sol, ataja sababu za kutotoa ngoma nyingi na wasanii wa hiphop kutofanikiwa
Fid Q amewashirikisha Sauti Sol kwenye wimbo wake mpya. Fid Q, AY, Shaa na Sauti Sol wakiwa studio Akiongea jana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Citizen Radio ya Kenya, Fid amedai kuwa wimbo huo wameurekodi juzi usiku. “Nilikuja Nairobi kwaajili ya kurekodi na Sauti Sol, namshukuru Mungu tumefanya session last night na kiukweli wote […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Jan
Ditto ataja sababu za wasanii wapya kupotea
![Lameck-Ditto_1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Lameck-Ditto_1-300x194.jpg)
Msanii na mtunzi wa nyimbo, Lameck Ditto amesema wasanii wengi wachanga wanashindwa kufanikiwa kutokana na woga pamoja na kutokuwa wabunifu kwa kukopi kazi za wasanii waliowakuta kwenye game.
Ditto ambaye pia kwa sasa amejikita kwenye kilimo cha biashara, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa, kama wasanii wangeamini wanachofanya pamoja na kuwa wabunifu, wangefanikiwa.
“Kitu kikubwa wanashindwa kuwa tofauti na wengine,” alisema.
“Mimi naona vijana wengi wapo hivyo,...
10 years ago
Bongo512 Mar
Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani
9 years ago
Bongo523 Nov
Sauti Sol waeleza kwanini hawajawashirikisha wasanii wa nje ya Afrika kwenye album yao mpya
![bien](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/bien-300x194.jpg)
Sauti Sol wameachia album yao mpya ‘Live and Die in Afrika’ Ijumaa iliyopita (November 20). Katika kuhakikisha wanawaridhisha mashabiki wao, waliamua kutoa nafasi kwa mashabiki kupakua album hiyo bure kwenye website yao (www.sauti-sol.com), lakini ofa hiyo ilikuwa ni kwa saa 48 tu toka ilipotoka mpaka Jumapili Nov.22 saa 5:59 Usiku.
Baada ya hapo album hiyo itauzwa katika maeneo watakayotangaza.
Kwenye album hiyo ambayo ni ya tatu kutoka kwa kundi hilo, ni nyimbo mbili pekee kati ya 15 za...
9 years ago
Bongo521 Dec
Mwana FA ataja sababu kuu za kwanini amekuwa akitoa ngoma chake kwa mwaka (Video)
![12301206_416545988542834_2103460087_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301206_416545988542834_2103460087_n-1-300x194.jpg)
Mwana FA si mtu wa kutoa nyimbo nyingi kwa mwaka. Kwanini? Hizi ni sababu tatu alizozitoa baada ya kukaa na kuzungumza na sisi.
“Naona sina vitu vingi vya kuprove. Kwasababu kama mtu amefika mahali sasa hivi haamini kama nina uwezo, nitakuwa sina uwezo tena wa kumbadilisha,” amesema Mwana FA.
“Muziki mzuri unahitaji muda. Mimi nisharekodi ngoma inakaa mwaka mzima, baadaye tukija tukitaka kuitoa tunakuja tunarekodi tena. Nisharekodi ngoma mara nne kama Kama Zamani ile. Na nafikiri hili...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PSy-U59yahU/default.jpg)
11 years ago
CloudsFM12 Aug
FID Q AJIPANGA KUTOA DOCUMENTARY YA KUREKEBISHA HIPHOP YA BONGO.
STAA wa Hip Hop,Fid Q yupo katika maandalizi ya kuachia documentary aliyoipa jina la ‘Bongo Hiphop’ kuelezea ishu mbalimbali za Hiphop Bongo historia yake kuanzia ilipotokea mpaka wakati huu, lakini kabla ya documentary hiyo kutoka kwa msanii huyo kesho August 13 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake ataachia soundtrack ya documentary hiyo.
10 years ago
Bongo513 Aug
New Music: Fid Q f/ P-Funk — Bongo Hiphop (Radio Rip)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/i3olhpP2qUM/default.jpg)
10 years ago
Bongo513 May
Wasanii wa Tanzania kutotoa album ni uzembe, uoga na kutojiamini!