FID Q AJIPANGA KUTOA DOCUMENTARY YA KUREKEBISHA HIPHOP YA BONGO.
STAA wa Hip Hop,Fid Q yupo katika maandalizi ya kuachia documentary aliyoipa jina la ‘Bongo Hiphop’ kuelezea ishu mbalimbali za Hiphop Bongo historia yake kuanzia ilipotokea mpaka wakati huu, lakini kabla ya documentary hiyo kutoka kwa msanii huyo kesho August 13 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake ataachia soundtrack ya documentary hiyo.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PSy-U59yahU/default.jpg)
10 years ago
Bongo513 Aug
New Music: Fid Q f/ P-Funk — Bongo Hiphop (Radio Rip)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/i3olhpP2qUM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Fid Q aja na ‘documentary’ ya Hip Hop
MSANII wa muziki wa Hip Hop kutoka Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anatarajia kuachia ‘documentary’ itakayoelezea historia ya Hip hop ya Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Fid Q...
10 years ago
Bongo507 Mar
Fid Q awasharikisha Sauti Sol, ataja sababu za kutotoa ngoma nyingi na wasanii wa hiphop kutofanikiwa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/bvbApY9JZfo/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Fid Q: Najuta kutoa albamu mapema
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anajutia kutoa albamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ mapema kabla mfumo wa kutumia CD kuingia Tanzania.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Fid Q alisema kuwa mfumo wa kutumia kanda ulifanya albamu hiyo kuwafikia mashabiki wachache tofauti na malengo aliyojiwekea na anaamini angetumia CD kazi yake ingewafikia wengi.
“Muda mwingine nawaza albamu yangu ningeitoa kipindi ambacho CD...
11 years ago
Bongo511 Aug
Fid Q na P-Funk kuachia ‘Bongo Hip Hop’ Jumatano, August 13