Fid Q na P-Funk kuachia ‘Bongo Hip Hop’ Jumatano, August 13
Jumatano hii, August 13, Fareed Kubanda aka Fid Q atasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuwapa mashabiki wake zawadi kubwa. Fid na P-Funk Majani, wataachia kile kinachoonekana kama wimbo uitwao ‘Bongo Hip Hip. Hata hivyo hivi karibuni rapper huyo aliiambia Bongo5 kuwa anatarajia kuachia documentary itayoelezea historia ya hip hop ya Tanzania enye jina hilo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Fid Q aja na ‘documentary’ ya Hip Hop
MSANII wa muziki wa Hip Hop kutoka Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anatarajia kuachia ‘documentary’ itakayoelezea historia ya Hip hop ya Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Fid Q...
11 years ago
GPLFID Q: PROFESA WA HIP HOP ALIYEKUMBUKWA KWA TUZO ZA KILI
10 years ago
Bongo513 Aug
New Music: Fid Q f/ P-Funk — Bongo Hiphop (Radio Rip)
11 years ago
GPLUZINDUZI VIDEO YA ‘HIP HOP DARASA’ YA FID Q WAVUTIA MASHABIKI
9 years ago
Bongo530 Sep
Fid Q asema ataendelea kuimba live band ili kuboresha show za Hip Hop
11 years ago
GPLFID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP
9 years ago
VijimamboSWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP
9 years ago
VijimamboKatika Swahili Hip Hop na Bongo Flava hii leo
Alitamba na nyimbo nyingi kama Nakuzimia, Zuwena, Kuoana, na hata zile alizojazia kiitikio kama Kighetogheto na nyinginezo
Kwa sasa anaishi na kufanya kazi nchini Australia.
Panapo majaaliwa tutaungana naye kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA saa nne kamili kwa saa za Marekani Mashariki (10:00ET)
Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...